Mliokuwa mnafurahia wabunge wa Chama kimoja, Chadema ife, upinzani ufe ibaki CCM tu nadhani Sasa akili zimerudi

Mbowe ni mmojawapo wa waliofurahia ujio wa Samia na kusherehekea kifo cha JPM.
sasa wafuasi wake tulieni mumsikilize mwamba wa kaskazini,pamoja na walamba asali chini ya Rafiki yenu kinana wanavyotunyoosha.
Mh Mbowe anahusikaje na mikwamo ya CCM na Serikali yake?Mlipowapora kura wapinzani ili CCM ijaze Bunge mlishangilia,bebeni mzigo wenu wenyewe.
Ulitarajia Mh Mbowe au wapinzani wengine walioporwa kura wangesikitikia kifo cha mtesi wao.Samia naye haeleweki baada ya CCM kumharibu kwa kudumisha ya Magu na kuacha hoja za wananchi.
 
voicer=speaker?
 
Mbowe ni mmojawapo wa waliofurahia ujio wa Samia na kusherehekea kifo cha JPM.
sasa wafuasi wake tulieni mumsikilize mwamba wa kaskazini,pamoja na walamba asali chini ya Rafiki yenu kinana wanavyotunyoosha.
una akili ndogo sana wewe. kuna uhusiano gani kati ya kuja kwa samia, kinana na kupanda bei ya mafuta? hivi huwa unasoma na kusikiliza hata vyombo vya habari vya nchi nyingine kweli wewe pimbi? yaani hujui hata kama gharama za maisha zinasababishwa na nini? ulisoma kweli wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…