mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Feb 14, 2023 #21 Gily said: Ila nyimbo ya Sam Mangwana ambayo nasikiliza tanguy utoto ni Kabibi. Hii nyimbo niliikariri kabisa. Mpaka leo hii ninayo na jana tu nimetoka kuisikiliza. Big up to Mangwana. Click to expand... Kabibi ikipigwa narudi nyuma sana kimawazo. Kweli duniani tumekuja ili tupite[emoji29] Miaka inakimbia kama upepo.
Gily said: Ila nyimbo ya Sam Mangwana ambayo nasikiliza tanguy utoto ni Kabibi. Hii nyimbo niliikariri kabisa. Mpaka leo hii ninayo na jana tu nimetoka kuisikiliza. Big up to Mangwana. Click to expand... Kabibi ikipigwa narudi nyuma sana kimawazo. Kweli duniani tumekuja ili tupite[emoji29] Miaka inakimbia kama upepo.
Gwappo Mwakatobe JF-Expert Member Joined Nov 22, 2019 Posts 1,730 Reaction score 2,230 Feb 14, 2023 #22 Basi Nenda said: Huyu jamaa anazungumza kiswahili,lingala,french nadhani na kereno, ndio maana akawa na uwezo wa kuimba hata hiyo kabibi,pure talent Click to expand... Pia Sam Mangwana anaongea vizuri sana Kijerumani na Kiingereza. Ana kipaji cha ajabu sana. Sam Mangwana azali malamu mingi, lisusu ndeko nangai.
Basi Nenda said: Huyu jamaa anazungumza kiswahili,lingala,french nadhani na kereno, ndio maana akawa na uwezo wa kuimba hata hiyo kabibi,pure talent Click to expand... Pia Sam Mangwana anaongea vizuri sana Kijerumani na Kiingereza. Ana kipaji cha ajabu sana. Sam Mangwana azali malamu mingi, lisusu ndeko nangai.
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Feb 14, 2023 #23 Gwappo Mwakatobe said: Pia Sam Mangwana anaongea vizuri sana Kijerumani na Kiingereza. Ana kipaji cha ajabu sana. Sam Mangwana azali malamu mingi, lisusu ndeko nangai. Click to expand... Hii itakuwa ni sababu ya kusafiri sana, wanasema hakai sehemu moja
Gwappo Mwakatobe said: Pia Sam Mangwana anaongea vizuri sana Kijerumani na Kiingereza. Ana kipaji cha ajabu sana. Sam Mangwana azali malamu mingi, lisusu ndeko nangai. Click to expand... Hii itakuwa ni sababu ya kusafiri sana, wanasema hakai sehemu moja
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Feb 15, 2023 #24 Ila huo wimbo Ni wa kitambo Sana kwa kweli,niliusikiaga nikiwa mdogo sana