mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Ila nyimbo ya Sam Mangwana ambayo nasikiliza tanguy utoto ni Kabibi. Hii nyimbo niliikariri kabisa. Mpaka leo hii ninayo na jana tu nimetoka kuisikiliza. Big up to Mangwana.
Kabibi ikipigwa narudi nyuma sana kimawazo.
Kweli duniani tumekuja ili tupite[emoji29]
Miaka inakimbia kama upepo.