Mliooa au kuolewa na Wanyarwanda tupeni experience

Mliooa au kuolewa na Wanyarwanda tupeni experience

Well said bro. Burundi watutsi pia wapo ila wanatabia nzuri zinazoeleweka kama za wabantu wa bongo. Sifa nzuri za wanawake wa burundi kama za wanawake wa KIHA wa kigoma. Kiasi kwamba kama watutsi wa rwanda unawajua vizuri lazima utaona wapo tofauti na watutsi wa Burundi.
Tofauti kubwa ipo shingoni,, kiunoni na miguuni, ila lazima uwe mzoefu kugundua.
 
Ni ushauri, kuwa na mnyarwanda kwa kupumzikia tu, au zaa nae uchukue mtoto upite hivi. Hawana sifa za kuolewa, NIAMINI.

Ni Kama wamasai
IMG_0771.png
 
Mkuu uko na shida kidogo, naaibika nini na kwanini??? kwani hii ni barua ya kuomba ajira niliadika au ni barua ya tender au??? no grammar, no perfection needed here pls, and for your info, i have MBA from oxford pls, stay safe covid is real, be blessed sir
Mwamba umetisha una MBA ya oxford hongera sana kaka 😂
 
Mkuu uko na shida kidogo, naaibika nini na kwanini??? kwani hii ni barua ya kuomba ajira niliadika au ni barua ya tender au??? no grammar, no perfection needed here pls, and for your info, i have MBA from oxford pls, stay safe covid is real, be blessed sir
🤣
 
Kulingana na story kua nyingi mara hili mara lile kuuhusu ku-date wanyarwanda!

Mara mkizaa watoto unapachikiwa mtoto wa katikati na ndugu yake mkeo! Mara wanakimbia na watoto! Yaan vulu vulu
Wengine wanadai ni waaminifu sanaa n.k Nimeona niombe experience.

Eehh

KAMA UMEOA AU UNADATE MNYARWANDA MAMBO YAKO!

Wako very romantic, trustworthy, wanajitambua, na they real care. Hizo story za kuzaa na ndugu yake ni uzushi tu na kama zipo basi ni sawa na hapa Tanzania mtu kuzaa na house girl wake ama shemeji yake, hii hapa Bongo ipo sana. Kama umependana na Mnyarwanda na mnaelewana, chukua mazee. Mimi nina wangu mwaka wa 9 sasa, tunaishi kwa raha mustarehe kabisa na watoto wetu 3.
 
Mshukuru sana Mungu kwa kumpata mnyarwanda aliyekuzidi akili kwa kiwango hicho, hakika utaishi kwa amani milele.
 
Hawa watu sio mkuu, ila ukiwa kichwa maji utahisi katika hii dunia wewe pekee unaenjoy mahusiano.

Nenda Biharamulo Kagera utawakimbia.
Hahaha hapo kwa ukiwa kichwa maji utahisi unaenjoy
Umesema ukweri sana
 
Kwenye Bata ni kweli, niko huku kaka zao wenyewe wanakwambia kumhandle msichana wa kinywarwanda uwe una pesa hata akupendw vip kama huna pesa mtashea tena hasa kama ww sio mnyarwanda ndo kabisa

na kwa kias flan ukiwa na watoto nae .. jua hata malez yao yatakuwa controles na wakwe zako.. yaan kwa kias flan familia yako itaendeshwa na wakwe zako

labda ukae nae mbal mfano tz lakin ndo yanawwza kutokea yale yaliosemwa ya kukimbiwa na na watoto maana ukikaza sana usifate wanavyotaka wakwe watamwambia arud hom

na hayo ya juu sio kwa wanawake tu hata kwa wanaume.. kuna sista hapa bongo kazaa na mnyarwanda baada ya mtoto kukua akataka kumtorosha kumpeleka rwanda sister kustukia akapeleka mtoto kwao mkoa..

jamaa kuona hivyo akafunguka akasema anatakiwa akaoe kwao so hata angezaa nae watoto wangap lazima watoto warud Rwanda

Warundi ni humble zaidi ya wanyarwanda na wana care sana.. yaan mwanamke wankirundi ukiwa nae anakufanya kama mtoro wake tena yule wa dawa kama vile hata pata mwingine.. wako wanajua sana kusekeza na kujishusha
so bora kuoa mtusi wa Burundi kuliko Rwanda sio?
 
Back
Top Bottom