Mliooa au kuolewa na Wanyarwanda tupeni experience

Mliooa au kuolewa na Wanyarwanda tupeni experience

Hawa binadamu nimecheza nao sanaa mkuu, hakuna mahali atanidanganya.
Miye sisemi bana. Miye ninalo langu nililipenda sana pia. Sijui liko wapi saa hizi linyarwanda langu jamani[emoji23][emoji23] nimelipendaga kindakindaki ila basi tu maybe ndo ka msemavyo mambo ya kwao bwana. HAWAPENDEKI
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa mabinti wanajua Sana kupenda na kujali. Kasoro niliyoiona kwa wa kwangu; hasira na maamuz magumu, pia wanawakubali Sana wanyarwanda wenzao(kiume). Wangu nilimfuma na huyo aliyeniambia ndugu yake analiwa denda.
Nilimfurahisha mbona.....hadi leo hataki kuja Tz tena
Utasemaje ni wako wakati hataki kukufuata? Sio wako huyo.
 
Kulingana na story kua nyingi mara hili mara lile kuuhusu ku-date wanyarwanda!

Mara mkizaa watoto unapachikiwa mtoto wa katikati na ndugu yake mkeo! Mara wanakimbia na watoto! Yaan vulu vulu
Wengine wanadai ni waaminifu sanaa n.k Nimeona niombe experience.

Eehh

KAMA UMEOA AU UNADATE MNYARWANDA MAMBO YAKO!

Stereotypes tu hizi kaka. Mtu muhuni ni muhinu. Kwani Tanzania hakuna wanaolea watoto wasio wao? Kama ni cheating baadhi ya wanawake wa Tanzania wanafanya pia.
 
Ila bana watutsi wa Rwanda wazuri sana

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Zaidi ya sana mkuu, miaka ya giza tulikuwa tunawafuata vijijini huko unamleta town unamtia ndani wiki bila kutoka, anakula vizuri, unampiga soap ya maana, akitoka unampeleka salon analembwa vizuri, unampiga pamba, ukitoka nae lazima watu wote macho yawe kwenu.
 
Hawa mabinti wanajua Sana kupenda na kujali. Kasoro niliyoiona kwa wa kwangu; hasira na maamuz magumu, pia wanawakubali Sana wanyarwanda wenzao(kiume). Wangu nilimfuma na huyo aliyeniambia ndugu yake analiwa denda.
Nilimfurahisha mbona.....hadi leo hataki kuja Tz tena
ulimfurahisha kiaje? fafanua tafadhali.
 
Kulingana na story kua nyingi mara hili mara lile kuuhusu ku-date wanyarwanda!

Mara mkizaa watoto unapachikiwa mtoto wa katikati na ndugu yake mkeo! Mara wanakimbia na watoto! Yaan vulu vulu
Wengine wanadai ni waaminifu sanaa n.k Nimeona niombe experience.

Eehh

KAMA UMEOA AU UNADATE MNYARWANDA MAMBO YAKO!

Yupi Mnyarwanda kati ya hawa?
 
so bora kuoa mtusi wa Burundi kuliko Rwanda sio?

kaka swala la kuoa ni kama imani ya dini... ni moyo wako tu... ndo maana hata malaya wa barabaran anaweza akapat mteja na mteja akaamu kuweka ndan kabisa...

Oa kutokana na unapopenda na aina ya mwanamke unaemtaka.. so kwasababu ya tabia zao za akiasili mwisho wa siku hawana tabia yoyote mpya ambayo hatuna hapa tz au haipo dunian... they are simply human beings like the rest of us.. being humans it means they can change or adapt... unaweza ukaoa wa burundi kumbe katika mia moja huyo ndo kazaliwa ana Gubu had shetan hapendi.. ndo utajua hujui[emoji1][emoji1]

tumeumbiwa hawa jaman vitabu vya dini ninasema tuishi nao kwa akili...
 
Back
Top Bottom