Mliooa au kuolewa na Wanyarwanda tupeni experience

Tofauti kubwa ipo shingoni,, kiunoni na miguuni, ila lazima uwe mzoefu kugundua.
 
Mwamba umetisha una MBA ya oxford hongera sana kaka 😂
 
🤣
 
Wako very romantic, trustworthy, wanajitambua, na they real care. Hizo story za kuzaa na ndugu yake ni uzushi tu na kama zipo basi ni sawa na hapa Tanzania mtu kuzaa na house girl wake ama shemeji yake, hii hapa Bongo ipo sana. Kama umependana na Mnyarwanda na mnaelewana, chukua mazee. Mimi nina wangu mwaka wa 9 sasa, tunaishi kwa raha mustarehe kabisa na watoto wetu 3.
 
Mshukuru sana Mungu kwa kumpata mnyarwanda aliyekuzidi akili kwa kiwango hicho, hakika utaishi kwa amani milele.
 
Mshukuru sana Mungu kwa kumpata mnyarwanda aliyekuzidi akili kwa kiwango hicho, hakika utaishi kwa amani milele.
Mimi ninae kachanganya damu na mchaga

Duuh niishie hapa tafadhali
 
Hawa watu sio mkuu, ila ukiwa kichwa maji utahisi katika hii dunia wewe pekee unaenjoy mahusiano.

Nenda Biharamulo Kagera utawakimbia.
Hahaha hapo kwa ukiwa kichwa maji utahisi unaenjoy
Umesema ukweri sana
 
so bora kuoa mtusi wa Burundi kuliko Rwanda sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…