Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
-
- #161
kaka swala la kuoa ni kama imani ya dini... ni moyo wako tu... ndo maana hata malaya wa barabaran anaweza akapat mteja na mteja akaamu kuweka ndan kabisa...
Oa kutokana na unapopenda na aina ya mwanamke unaemtaka.. so kwasababu ya tabia zao za akiasili mwisho wa siku hawana tabia yoyote mpya ambayo hatuna hapa tz au haipo dunian... they are simply human beings like the rest of us.. being humans it means they can change or adapt... unaweza ukaoa wa burundi kumbe katika mia moja huyo ndo kazaliwa ana Gubu had shetan hapendi.. ndo utajua hujui[emoji1][emoji1]
tumeumbiwa hawa jaman vitabu vya dini ninasema tuishi nao kwa akili...
Yes. Kwenye sekta ya ushushushu tu hawajambo. Hata hapa kwetu wengi mashushushu. Anyways, they are working hard for theie country. Sisi timeifanyoa nini nchi yetu.Kuna kipindi nilikuwa na mishe kigari alinitongoza demu ambaye sikumzania ila wanakuwaga maaskari anakutunuku mzigo ila anakuchunguza umekuja kufanya nini
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu mzee aliteleza sana ila tumsamehe tu cha msingi tukaunganishe wenyewe kwa damu soon naenda kutafuta mzigo wa maana wakwangu nitawapa mrejeshoMoja ya kosa ambalo baba wa taifa sitokaa nimsamee ni kutounganisha Tanzania na Rwanda mwaka 1964View attachment 1830832
Lete Maneno MkuuNi wazuri sana usoni lakini wachafu sana i hate them sishauri mtu akaoe huko wabinafsi sana
Tushike lipi, la wachafu Sana au la wabinafsi Sana?Ni wazuri sana usoni lakini wachafu sana i hate them sishauri mtu akaoe huko wabinafsi sana
Nashukuru nmechekaMkuu hebu nipe taarifa zaidi maana natafute mke pengine nitaenda huko yaani are you joking or what? you mean their you know what when doing you know what releases huge amount of that liquid??? mkuu nielimise pls, natanguliza shukrani
Hata pale Omurushaka wapo wapo ila wale wa Kiswahili watu wanataka wale pyuaNjoo Kayanga, Kyerwa Ujionee Wewe Mwenyewe Unapata Bonus Ya Maji (Dawasa)
Sawa Sawa SawaHata pale Omurushaka wapo wapo ila wale wa Kiswahili watu wanataka wale pyua
Wale wenyewe kabisa yaaan ambao hawajaathirika na madereva wa michomoko ya Nyaishozi.Sawa Sawa Sawa
Nkwenda Tele, Pure Wapoje Mkuu
Hawa Madereva Wa Omorushaka Washenz* Mno Wanawapiga Mno Barabarani Nako Wanakimbia HovyoWale wenyewe kabisa yaaan ambao hawajaathirika na madereva wa michomoko ya Nyaishozi.
🤣🤣🤣🤣🤣Wale wenyewe kabisa yaaan ambao hawajaathirika na madereva wa michomoko ya Nyaishozi.
Hahaa Nyaishozi hamna michomoko Kuna premio tu mzee michomoko iko ngaraWale wenyewe kabisa yaaan ambao hawajaathirika na madereva wa michomoko ya Nyaishozi.
Wenyewe Wanaita Premòo(Premio)Hahaa Nyaishozi hamna michomoko Kuna premio tu mzee michomoko iko ngara
Nyaishozi kwenda Omurushaka mkuu pale yapo mbona mamichomoko nyomi tu.Hahaa Nyaishozi hamna michomoko Kuna premio tu mzee michomoko iko ngara