Niomi kaka
Member
- Feb 28, 2025
- 66
- 131
Hahahahahabari zenu wakuu
aisee kama ndoa ziko hivi ni noma sana,
nilikua na demu wangu tumedumu kwa muda kidogo kwenye mahusiano. sasa niliamua kumvuta sogea tuishi baada ya makubaliano ya mimi na yeye nikaona sio mbaya hata umri unaruhusu, kabla hajafika niliamua kupanga bajeti nika nunua mahitaji muhimu kama unga gunia 25kg, mkaa gunia, mafuta Yakula 5lt, sukuri, chumvi nk. lakini huwezi kuamini vinateketea kama tunaishi watu kumi hasa mkaa na mafuta sio poa. alafu kibaya zaidi kuna baadhi ya tabia nimeanza kuzinot na sijazipenda kwanza ana gubu alafu nikama hayuko comfortable, pia mzigo naupata kwa mbinde na wakati tulivyokua hatuja anza kuishi wote sikuwahi kuviona.
na pia yeye ndie alikua anashauku ya kuolewa na mimi, kama Leo kaandaa chakula kaacha amekitenga mezani alafu yeye kageukia upande wa pili nikala kidogo nikaamua kukiacha nakuondoka zangu maana niliona kama kasusa, baada ya kuona sirudi akaanza kunitumia message za kuniomba samahani. nime mwambia kumbe anafanya makusudi na kama vipi asepe kwao sitaki stress
nahisi kukifiwa kabisa na naona kama sitodumu nae
mliodumu na wanawake wa aina yeyote akiwemo baba mzazi saruti kwenu
Kuvumilia ujinga mimi ndio siweziSi ameomba msamaha huyo anakufaa...
Hakuna aliyekamilika
Ndoa ni uvumilivu
Hutaki jamaa aone kijambio chako πTuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga
ππΏHutaki jamaa aone kijambio chako π
Baelezee, Alikuwa anatikisa kiberiti....halafu wanawake wanapenda kudekezwa.Si ameomba msamaha huyo anakufaa...
Hakuna aliyekamilika
Ndoa ni uvumilivu
Kulala uchi hautaki?Ndoa sio ya kila mtu oohh..!! πΉπΉ
Mnatuona tulio single km hatuna bahati ya ndoa sio??
Mimi kuwa mlinzi wa mtu nishakataa, kufua viboksa ndo sitaki kabisa kusikia..!!
Tuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga..!! Hapana waolewe wengine tyuuh..!! ππΌ
Kumbe hata style zinaweza kuvunja ndoa!??π€£Ndoa sio ya kila mtu oohh..!! πΉπΉ
Mnatuona tulio single km hatuna bahati ya ndoa sio??
Mimi kuwa mlinzi wa mtu nishakataa, kufua viboksa ndo sitaki kabisa kusikia..!!
Tuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga..!! Hapana waolewe wengine tyuuh..!! ππΌ
Ukiolewa ni lazima kijambio kionekane tu...hautaki unataka , utaichuma mboga ya majani ..na kijambio lazima kiwe hewani kama bendera za chaummaππΏ
Jamaa inaonekana anakaza demu anataka kudekezwa na kubembelezwa,na mwingine kupigwa kabisa ndo Anaona unampendaBaelezee, Alikuwa anatikisa kiberiti....halafu wanawake wanapenda kudekezwa.
Mhuni lazima atakiona kijambio chako na huna la kumfanya πππΏ