Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

Ndoa sio ya kila mtu oohh..!! 😹😹
Mnatuona tulio single km hatuna bahati ya ndoa sio??

Mimi kuwa mlinzi wa mtu nishakataa, kufua viboksa ndo sitaki kabisa kusikia..!!

Tuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga..!! Hapana waolewe wengine tyuuh..!! 🙌😼
Mwanetu akikuita ghetto ukakuta za week nzima huzitii maji eti!!?

Basi wote mtakuwa wachafu au mnapelekaga dry cleaner?au anayo moja kauka nikuvae akioga anafua anavaa!
 
Ukiolewa ni lazima kijambio kionekane tu...hautaki unataka , utaichuma mboga ya majani ..na kijambio lazima kiwe hewani kama bendera za chaumma
Na mhuni ataipiga hy nyapu yake na atamwaga na kuridhika vzr tuu 😂 mwache ajifanye anajua kukaza huku JF ila in reality lazima atoe nyapu Na mhuni lazima aone kijambio, akikutana na sisi wahuni tunanyonya hadi kijambio 🔥
 
Ndoa sio ya kila mtu oohh..!! 😹😹
Mnatuona tulio single km hatuna bahati ya ndoa sio??

Mimi kuwa mlinzi wa mtu nishakataa, kufua viboksa ndo sitaki kabisa kusikia..!!

Tuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga..!! Hapana waolewe wengine tyuuh..!! 🙌😼
😂😂😂 Bado nacheka jamani...


Ndoa ni kwa wenye akili za Rohoni za darasani haziwafai..
 
Tuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga..!! Hapana waolewe wengine tyuuh..!! 🙌😼
Mkuu hii ni mara sijui ya ngapi nakuona unailaani sana hii style. Inaelekea kweli huipendi kabisa.🤣
Binafsi mimi kiukweli sipendi kabisa kumuweka mwanamke wangu "doggy style". Kwanza jina lenyewe tu halinivutii, pili hua naiona kama style ya kidhalilishaji kwa mwanamke, tatu napenda niwe namuangalia mwanamke usoni wakati tunajivinjari
 
Back
Top Bottom