Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

yani tumambo mambo simply simply kama huto ndio tunakukera?! Asa mafuta na mkaa vinateketea na wakati vinatumika kwa matumizi ya wewe na yeye sasa unashangaa nini?! Au anachota mkaa anapeleka kwao?! Bwana mdogo bado unaogopa majukumu wewe!
nahisi hayaja kukuta inawezekana vp gunia la mkaa wanao tumia familia mwezi kwangu lisimalize wiki mbili? au unaona nafurahisha
 
Nimegunduwa maisha ya single ni Raha sana kuliko kwenye ndoa.

Soon nahamia huko,,
Kuishi na mtu ambaye mekutana ukubwani yataka moyo sn AISEE
 
nahisi hayaja kukuta inawezekana vp gunia la mkaa wanao tumia familia mwezi kwangu lisimalize wiki mbili? au unaona nafurahisha
Kwahiyo umebaini mkaa unaenda wapi? Au unatumika katika matumizi ya wewe na yeye na hilo gunia la kilo ngapi mana isije kiroba cha kilo 25 unaita gunia
 
Habari zenu wakuu

Aisee kama ndoa ziko hivi ni noma sana,

Nilikua na demu wangu tumedumu kwa muda kidogo kwenye mahusiano. sasa niliamua kumvuta sogea tuishi baada ya makubaliano ya mimi na yeye nikaona sio mbaya hata umri unaruhusu, kabla hajafika niliamua kupanga bajeti nika nunua mahitaji muhimu kama unga gunia 25kg, mkaa gunia, mafuta Yakula 5lt, sukuri, chumvi nk.

Lakini huwezi kuamini vinateketea kama tunaishi watu kumi hasa mkaa na mafuta sio poa. alafu kibaya zaidi kuna baadhi ya tabia nimeanza kuzinot na sijazipenda kwanza ana gubu alafu nikama hayuko comfortable, pia mzigo naupata kwa mbinde na wakati tulivyokua hatuja anza kuishi wote sikuwahi kuviona.

Na pia yeye ndie alikua anashauku ya kuolewa na mimi, kama Leo kaandaa chakula kaacha amekitenga mezani alafu yeye kageukia upande wa pili nikala kidogo nikaamua kukiacha nakuondoka zangu maana niliona kama kasusa, baada ya kuona sirudi akaanza kunitumia message za kuniomba samahani. nime mwambia kumbe anafanya makusudi na kama vipi asepe kwao sitaki stress

Nahisi kukifiwa kabisa na naona kama sitodumu nae

Mliodumu na wanawake wa aina yeyote akiwemo baba mzazi saruti kwenu
Hilo ni Tatizo Sana kweli.
Yaani Hao Wadudu Usipokaa Nao Kwa Akiri .
Mbali na Hapo Utaugua Ugonjwa Wa Moyo.
Sio wewe tu. Kuna Mwingine Mwanamke.
Kasepa Takribani Miaka Akiwa Ni Mjamzito.
Leo Anarudi Na Kidume Anakimbilia Miaka 3.
Na Bado Karejea KLakini salakasi zakutosha.
Sasa yule Chakula Akitenga Anakaa Pembeni kabisa.
Habari za Kujali kinacho muhusu Mtaftaji Inakuwa Kazi pia. Hapo karudi na Kasi mpya Yaan kaongeza na Madawa ya kumlisha Mdau.
Hivyo unaona Kuwa Kila Mtu.
Anao Mzigo Mkubwa alioubeba?
 
Habari zenu wakuu

Aisee kama ndoa ziko hivi ni noma sana,

Nilikua na demu wangu tumedumu kwa muda kidogo kwenye mahusiano. sasa niliamua kumvuta sogea tuishi baada ya makubaliano ya mimi na yeye nikaona sio mbaya hata umri unaruhusu, kabla hajafika niliamua kupanga bajeti nika nunua mahitaji muhimu kama unga gunia 25kg, mkaa gunia, mafuta Yakula 5lt, sukuri, chumvi nk.

Lakini huwezi kuamini vinateketea kama tunaishi watu kumi hasa mkaa na mafuta sio poa. alafu kibaya zaidi kuna baadhi ya tabia nimeanza kuzinot na sijazipenda kwanza ana gubu alafu nikama hayuko comfortable, pia mzigo naupata kwa mbinde na wakati tulivyokua hatuja anza kuishi wote sikuwahi kuviona.

Na pia yeye ndie alikua anashauku ya kuolewa na mimi, kama Leo kaandaa chakula kaacha amekitenga mezani alafu yeye kageukia upande wa pili nikala kidogo nikaamua kukiacha nakuondoka zangu maana niliona kama kasusa, baada ya kuona sirudi akaanza kunitumia message za kuniomba samahani. nime mwambia kumbe anafanya makusudi na kama vipi asepe kwao sitaki stress

Nahisi kukifiwa kabisa na naona kama sitodumu nae

Mliodumu na wanawake wa aina yeyote akiwemo baba mzazi saruti kwenu
Mind games plus hila!

Wanawake Wana hiyo kitu hasta kupima upepo!

Ukishoboka tu,done!

Kuna mmoja alimtesa sana Kwa muda mrefu jamaa,eti analala Kwa watoto,na jamaa nae akatafuta room kati na kuanza kuishi kiaina!Dem akashtuka akaenda kubeba Kila kitu!

Kwakua jamaa alichukia matendo ya Dem,akajiuliza mind games,Sanaa na Hila Hadi lini!!?akaaamua kutafuta mwingine kupunguza msongamano usio na maana!!

KAZI na utu tunasonga mbele!!
 
Back
Top Bottom