Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Hao ndio walivyo hata huyo mwengine utakaempata ndio hivyo hivyo.
Kuna dogo jirani yangu nae kaoa eti wakigombana mke anavunja vyombo!!!Kuna jamaa yangu mmoja anaishi na mwanamke pasua kichwa kinoma wakigombana kidogo mwanamke anapigiza vitu anavunja vunja makusudi.
Sasa mwamba siku moja akachoka na yeye akaona bora aharibu kila kitu nikaitwa kumtuliza nikamkuta anahangaika kuangusha kabati nikamzuia.
Jamaa analia anasema nimempa kila kitu , nimemfungulia biashara na kila mwisho wa mwezi namuwekea 300k kwenye account yake ila hata kusimamia biashara kashindwa ,biashara imechanganyia ghafla akaifunga anasema anaenda kwao likizo sahivi imekufa.
Sahivi anarudi kwangu ananivunjia vitu nilivyonunua kwa gharama bila sababu, sasa huyu mwanamke wa kazi gani ? Kazi yake kunirudisha tu nyuma.
Mwamba aliongea mi msuluhishaji mwenyewe nilipata hasira nikataka nimtie makofi mke wake ila nikamtuliza.
Mdau huwa hapati muda wa kuwa nyumbani muda mrefu ila mke wake alivyokua hayupo alijitahidi hivyo hivyo akanunua kuku kama 20 wa kienyeji akawa yupo nao hivyo hivyo na akaweza kuwatunza kwa zaidi ya mwezi.
Siku mke alivyorudi tu kakaa wiki mbili kuku karibu 10 wakapotea anaulizwa wako wapi anasema hajui.
Moyoni nikasema huyu mwamba hapa kapatikana, maana mwanamke alitakiwa awe supportive kwa jamaa ila kwa kushindwa kusimamia hata vitu vidogo ni ngumu sana kupiga hatua kila siku unakua unarudi nyuma
Huo ndiyo ukweli wewe ni mayala mbwa koko haoni ndaniKwendraa 😹😹😹
Kwani mwana amesema hana pesa ???Tafuta Hela acha njaa
We jamaa ni mkorofiUlikosea sana unaazaje maisha na gunia la mkaa
Mbarika kikwetu jibwa KOKO linalopandwa na madume ya mtaa mzima..!! 😹Huo ndiyo ukweli wewe ni mayala mbwa koko haoni ndani
Kumbuka kutawaza hayo mabaki ya maharage
Hahahaha 🤣 wewe si ndiyo ulisema unapandwa na wanaume wote mambwaMbarika kikwetu jibwa KOKO linalopandwa na madume ya mtaa mzima..!! 😹
Umeona unavyojitukana mwenyewe sasa..!
Pole sana mkuu. Najua sababu hujapata mtu akakupenda vizuri. Ukimpata mtu akakupenda sana mbona utaongea lugha moja na wanaopendwa.Ndoa sio ya kila mtu oohh..!! 😹😹
Mnatuona tulio single km hatuna bahati ya ndoa sio??
Mimi kuwa mlinzi wa mtu nishakataa, kufua viboksa ndo sitaki kabisa kusikia..!!
Tuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga..!! Hapana waolewe wengine tyuuh..!! 🙌😼
😂😂😂Mhuni lazima atakiona kijambio chako na huna la kumfanya 😂
mpaka nimestukaaWengi tumejaa..!!
Utazoea tu.Habari zenu wakuu
Aisee kama ndoa ziko hivi ni noma sana,
Nilikua na demu wangu tumedumu kwa muda kidogo kwenye mahusiano. sasa niliamua kumvuta sogea tuishi baada ya makubaliano ya mimi na yeye nikaona sio mbaya hata umri unaruhusu, kabla hajafika niliamua kupanga bajeti nika nunua mahitaji muhimu kama unga gunia 25kg, mkaa gunia, mafuta Yakula 5lt, sukuri, chumvi nk.
Lakini huwezi kuamini vinateketea kama tunaishi watu kumi hasa mkaa na mafuta sio poa. alafu kibaya zaidi kuna baadhi ya tabia nimeanza kuzinot na sijazipenda kwanza ana gubu alafu nikama hayuko comfortable, pia mzigo naupata kwa mbinde na wakati tulivyokua hatuja anza kuishi wote sikuwahi kuviona.
Na pia yeye ndie alikua anashauku ya kuolewa na mimi, kama Leo kaandaa chakula kaacha amekitenga mezani alafu yeye kageukia upande wa pili nikala kidogo nikaamua kukiacha nakuondoka zangu maana niliona kama kasusa, baada ya kuona sirudi akaanza kunitumia message za kuniomba samahani. nime mwambia kumbe anafanya makusudi na kama vipi asepe kwao sitaki stress
Nahisi kukifiwa kabisa na naona kama sitodumu nae
Mliodumu na wanawake wa aina yeyote akiwemo baba mzazi saruti kwenu
duh itakua hatari sanaMwanzishie clinic ya ujauzito...huyo tayari imo