Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

Kwahiyo tatizo lako ni Mwanamke kununa au kumaliza Gunia la mkaa na mafuta?

Hueleweki tatizo lako kwake ni nini hasa?
 
Kabisa mkuu, mwamba apunguze utemi tu, hapo kwenye bajeti ajaribu kumuelekeza na kumuongoza watakuwa sawa na amani tele. Hamna kiumbe kilichokamilika sana sana ni kubebeana madhaifu yanayoweza kubebeka na kivumiliana aisee. anaweza kumuacha huyo akadondokea kwenye machine mbovu zaidi
Yah! Hakika usemalo Mkuu na kwa alivyoelezea yanazungumzika hayo.
 
Mwamba anafikiri kujaza maunga na mamkaa ndio kamaliza. Halaf sijaonanmahala kasema kajaza na michele au nyama kgs za kutosha kwenye fridge au tray za mayai 😂😂😂.
Joking!!!
Ndoa ni zaid ya hayo mdogo angu Niomi kaka .
Ndio ni upendo na kuhurumiana na kumuweka mwenzio kwenye nafasi yako wewe. Yan yale usiyopemda kufanyiwa usimfanyie. Pale anapokesea mnayazungumza kuyajenga.

Labda kama MAMBO YAHARIBIKE SANAAAAAA na uone kabisa HANA ANALOTAKA JEMA KWA MANUFAA YENU WAWILI. hapo ruksa ku give up!!.
Ila sio hiz sababu za kijinga kijinga.
Sasa kama mke tu unaona mzigo, akikuzalia watoto je???
SEMA MWAMBA UME NIFURAHISHA, ETI MAUNGA NA MAMKAA
 
Kuna jamaa yangu mmoja anaishi na mwanamke pasua kichwa kinoma wakigombana kidogo mwanamke anapigiza vitu anavunja vunja makusudi.

Sasa mwamba siku moja akachoka na yeye akaona bora aharibu kila kitu nikaitwa kumtuliza nikamkuta anahangaika kuangusha kabati nikamzuia.

Jamaa analia anasema nimempa kila kitu , nimemfungulia biashara na kila mwisho wa mwezi namuwekea 300k kwenye account yake ila hata kusimamia biashara kashindwa ,biashara imechanganyia ghafla akaifunga anasema anaenda kwao likizo sahivi imekufa.

Sahivi anarudi kwangu ananivunjia vitu nilivyonunua kwa gharama bila sababu, sasa huyu mwanamke wa kazi gani ? Kazi yake kunirudisha tu nyuma.

Mwamba aliongea mi msuluhishaji mwenyewe nilipata hasira nikataka nimtie makofi mke wake ila nikamtuliza.

Mdau huwa hapati muda wa kuwa nyumbani muda mrefu ila mke wake alivyokua hayupo alijitahidi hivyo hivyo akanunua kuku kama 20 wa kienyeji akawa yupo nao hivyo hivyo na akaweza kuwatunza kwa zaidi ya mwezi.

Siku mke alivyorudi tu kakaa wiki mbili kuku karibu 10 wakapotea anaulizwa wako wapi anasema hajui.

Moyoni nikasema huyu mwamba hapa kapatikana, maana mwanamke alitakiwa awe supportive kwa jamaa ila kwa kushindwa kusimamia hata vitu vidogo ni ngumu sana kupiga hatua kila siku unakua unarudi nyuma
 
Imekaa kikatili sana kiongozi 😹
Watu mnakuwa km wanyama bwana..!!
some style is not recommended
ni kweli aiseee, kumpata wa kufanana nae ni kisanga

mwengine atalalamika wangu anafanya sana, mwengine ety kidogo sana mimi bado nataka 😝
 
Back
Top Bottom