Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

Na ukiona ndoa imedumu basi jua hapo kuna urafiki, uvumilivu, kusameheana mnapokoseana, kufumbia macho baadhi ya mambo, kurekebishana pale mmoja anapoenda sivyo sababu binadamu hatujakamilika hasa ukizingatia mmekutana kila mmoja ana tabia zake na makuzi yake huko alikotoka yaani vitu ni vingi aisee.
Sahihi mkuu hapo kwenye urafiki nakubali, sio mwanaume ukifika ndani ni utemi mbele. Enzi zinabadilika wale wanawake wavumilivu wakufanyia utemi walishapotea.
 
Hapo ukiongezea na vimichepuko viwili vitatu baas hiyo ndoa imekamilika na haitavunjika kamwe..
 
Habari zenu wakuu

Aisee kama ndoa ziko hivi ni noma sana,

Nilikua na demu wangu tumedumu kwa muda kidogo kwenye mahusiano. sasa niliamua kumvuta sogea tuishi baada ya makubaliano ya mimi na yeye nikaona sio mbaya hata umri unaruhusu, kabla hajafika niliamua kupanga bajeti nika nunua mahitaji muhimu kama unga gunia 25kg, mkaa gunia, mafuta Yakula 5lt, sukuri, chumvi nk.

Lakini huwezi kuamini vinateketea kama tunaishi watu kumi hasa mkaa na mafuta sio poa. alafu kibaya zaidi kuna baadhi ya tabia nimeanza kuzinot na sijazipenda kwanza ana gubu alafu nikama hayuko comfortable, pia mzigo naupata kwa mbinde na wakati tulivyokua hatuja anza kuishi wote sikuwahi kuviona.

Na pia yeye ndie alikua anashauku ya kuolewa na mimi, kama Leo kaandaa chakula kaacha amekitenga mezani alafu yeye kageukia upande wa pili nikala kidogo nikaamua kukiacha nakuondoka zangu maana niliona kama kasusa, baada ya kuona sirudi akaanza kunitumia message za kuniomba samahani. nime mwambia kumbe anafanya makusudi na kama vipi asepe kwao sitaki stress

Nahisi kukifiwa kabisa na naona kama sitodumu nae

Mliodumu na wanawake wa aina yeyote akiwemo baba mzazi saruti kwenu
Hivi hapo napo unajiita unaishi kwenye ndoa...Kenge maji wewe acha kufaninisha ndoa na uchumba
 
Nimepita huko fb nikaona kimeme kinasema mdada anapenda sana doggy ila anaogopa hataki jamaa aone kubwa yake, nilicheka sana kwa hayo majibu.

Nilichoshangaa ni vile wadada wenzake walivyomwambia, mmoja akasema yeye anamanua kabisa na kupanua kwa mikono ili jamaa apate access vizuri. Huku jf hawataki doggy😅
Humu JF wengi wanafiki tuu, unaweza kukuta huyo huyo wa fb anayesema anapanua kwa mikono ndo huyu huyu huku JF anayesema hapendi doggy 😂
 
Unafurahia good moments, unapuuzia bad moments. Wengine bila mke ndani maisha yanakuwa magumj sana...
Nyumba bila mwanamke ni sawa na boma lisilona kitu. Imagine umerudi mitikasi usiku huu unakuta taa zinawaka, nyumba inanukia misosi, nyumba safi imepangika kuanzia sebureni mpaka chumbani, chakula kimaeandaliwa, ww unafika unaoga unatengewa msosi unakula unalala na mpishi. Kesho asubuhi unawahi mitikasi unavaa nguo safi zimefuliwa zimenyooshwa. Hapo kipi kingine utakiwaza kwenye maisha Yako zaidi ya kutafuta hela kwa bidii na nidhamu??
 
Ndoa sio ya kila mtu oohh..!! 😹😹
Mnatuona tulio single km hatuna bahati ya ndoa sio??

Mimi kuwa mlinzi wa mtu nishakataa, kufua viboksa ndo sitaki kabisa kusikia..!!

Tuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga..!! Hapana waolewe wengine tyuuh..!! 🙌😼
Inaonesha ndiyo style unaipenda chuma mboga kizibo unakiona kileeeee paleeeee ukikosea kidogo tuu imooo,,,,,,
 
Habari zenu wakuu

Aisee kama ndoa ziko hivi ni noma sana,

Nilikua na demu wangu tumedumu kwa muda kidogo kwenye mahusiano. sasa niliamua kumvuta sogea tuishi baada ya makubaliano ya mimi na yeye nikaona sio mbaya hata umri unaruhusu, kabla hajafika niliamua kupanga bajeti nika nunua mahitaji muhimu kama unga gunia 25kg, mkaa gunia, mafuta Yakula 5lt, sukuri, chumvi nk.

Lakini huwezi kuamini vinateketea kama tunaishi watu kumi hasa mkaa na mafuta sio poa. alafu kibaya zaidi kuna baadhi ya tabia nimeanza kuzinot na sijazipenda kwanza ana gubu alafu nikama hayuko comfortable, pia mzigo naupata kwa mbinde na wakati tulivyokua hatuja anza kuishi wote sikuwahi kuviona.

Na pia yeye ndie alikua anashauku ya kuolewa na mimi, kama Leo kaandaa chakula kaacha amekitenga mezani alafu yeye kageukia upande wa pili nikala kidogo nikaamua kukiacha nakuondoka zangu maana niliona kama kasusa, baada ya kuona sirudi akaanza kunitumia message za kuniomba samahani. nime mwambia kumbe anafanya makusudi na kama vipi asepe kwao sitaki stress

Nahisi kukifiwa kabisa na naona kama sitodumu nae

Mliodumu na wanawake wa aina yeyote akiwemo baba mzazi saruti kwenu
Shukrani sana
 
Sahihi mkuu hapo kwenye urafiki nakubali, sio mwanaume ukifika ndani ni utemi mbele. Enzi zinabadilika wale wanawake wavumilivu wakufanyia utemi walishapotea.
Kweli kabisa Mkuu. Na ukishakuwepo urafiki ni rahisi kila mmoja kujua anachopenda na asichopenda mwenzake.

Sababu muda wa kuzungumza utakuwepo.
 
Kabla hujamuweka ndani ukimnunulia chips hamalizi anasema ameshiba, umemuweka ndani kafuta kilo 25 ya mchele siku mbili na hapo bado hajakuzoea vizuri bado anaona aibu kula ngoja afungulie turbo utasema vizuri.
 
Ndoa sio ya kila mtu oohh..!! 😹😹
Mnatuona tulio single km hatuna bahati ya ndoa sio??

Mimi kuwa mlinzi wa mtu nishakataa, kufua viboksa ndo sitaki kabisa kusikia..!!

Tuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga..!! Hapana waolewe wengine tyuuh..!! 🙌😼
sasa chuma mboga inaubaya gani 😁

kuwa independent woman napo ni kisanga
 
Kweli kabisa Mkuu. Na ukishakuwepo urafiki ni rahisi kila mmoja kujua anachopenda na asichopenda mwenzake.

Sababu muda wa kuzungumza utakuwepo.
Kabisa mkuu, mwamba apunguze utemi tu, hapo kwenye bajeti ajaribu kumuelekeza na kumuongoza watakuwa sawa na amani tele. Hamna kiumbe kilichokamilika sana sana ni kubebeana madhaifu yanayoweza kubebeka na kivumiliana aisee. anaweza kumuacha huyo akadondokea kwenye machine mbovu zaidi
 
Back
Top Bottom