Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

Kwani bila ndoa hupigwagi chuma mboga Lamomy
Au unajichukulia sheria mkononi?
 
Ila dada, hilo la boxer halina nafasi😁, si wameturahisishia kutuletea viosha nguo?

Ila shemela nawe, unga 25kgs bila ubwabwa usingenuna?
 
Kwan mboga huwa unachuma ukiwa wima? sasa kinachokuogopesha nn?
 
Ndoa inahitaji uvumilivu
 
Siipendi abadani 😹😹

Halafu hii tabia ya kuwekana dog tukianza kuwabwekea mnasema tuna dharau, kumbe tatizo mmelianzisha wenyewe.!! 🀣
 
Duh!! Hii kiboko

Ila sisi walokole chuma mboga ni dhambi stail yetu ni moja tu kifo cha mende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…