Mliooa na mnaopata mshahara wa Tshs. 300,000 au chini ya hapo mnawezaje kumudu familia?

Mliooa na mnaopata mshahara wa Tshs. 300,000 au chini ya hapo mnawezaje kumudu familia?

Ukishaoa milango ya rizk inafunguka mkuu ukiwa na mwanamke mwerev hyo laki tatu mtapanga matumizi na itatosha kabisaa..

Ukiwa single hyo laki tatu kwa mwezi haitosh hapo haujala na bado haujawa na michepuko miwili au mitatu ..ukioa utapunguza zinaa na anasa so hyo hela inatosha kabisaaa
Mkuu, umegonga penyewe.
 
Gari gani hilo kinatumia mafuta ya 15,000 kila siku mkuu?


Mbona yapo mengi tuu mkuu.ila sijajua unashangaa kuwa ni kubwa au ndogo otherwise hii ni average minimum kwa hapa Dar to from work kutegemeana na aina ya gari
 
Mzunguko wa hela baba, lazima zikupitie tuu hata buku mbili ama tatu kwa siku kama utainua mguu wako na kutoka ndani ya Nyumba kwenye mihangaiko...hujiilizi ambao hawana kazi na wanafamilia wanaishije na bia wanakunywa, tena unaweza kuta wanasave hata iyo laki 3 kwa mwezi...maisha hayama formula
 
Yaani 10000 kwa siku kwa familia

Yaani familia ile chai,lunch na dinner,

Watoto waende shule,

Mahitaji madogo madogo yatimie

Kiuhalisia haitoshi kabisa

Bado wewe mtafutaji unatoka asunuhi unatudi jioni maana yake lazima ule n utumie usafiri

Usimfanye mwamba akajiona anafuja pesa haitoshi laki tatu ila kwa kujibana kwa nguvu sawa inatosha
Swala sio kutosha au kutokutosha,Inabidi itoshe tu.Hakuna cha uhalisia wala nini bali ni lazima itoshe tu kama ndo iliopo
 
Mbona yapo mengi tuu mkuu.ila sijajua unashangaa kuwa ni kubwa au ndogo otherwise hii ni average minimum kwa hapa Dar to from work kutegemeana na aina ya gari
Nimeona nyingi mkuu maana binafsi nawekaga 55,000 natumia siku 7 napokaa na kazini ni 17km (round trip) hio 15,000 kwa siku ni magari haya ya 1500CC?
 
Kwa Mshahara wa laki tatu kwa mtu mwenye familia hapa dar bila chanzo mbadala;Ni Mungu tu anajua ugumu watu wanaolipwa hiyo pesa wanayopitia-wengine wanaongea tu pengine kwa kukosa uhalisia ila ukweli usiji frustrate kabisa;try to look for new opportunities!
 
Inategemea unaishi wapi kama ni dar ,Arusha au Kahama basi unatosha lakini utaishi kwa tabu sana yani adi karanga kununua utaona ni anasa
 
Hela nyingi sana hiyo,wastani wa elfu 10,000/=per day???ungetaja location ingekuwa rahisi kukufanyia bajeti.
 
Asante kwa mchanganuo. Ila umeacha kipengele muhimu cha kodi ya nyumba. Au ni mchanganuo kwa mtu aliyejenga tayari?
Duuuuuuuuuuuuuuh kodi ya nyumba kibongo bongo vyumba vya uswahilini si chini ya elfu 80,000 kwa mwenye familia.,,,,Maana chumba chenye umeme ni elfu 30,viwili 60,000 ukijumlisha na sebule 90,000/ ukipata kaservant kota si chini ya laki self contained.
 
Nina ndugu zangu niwalinzi wa makampuni ya ulinz binafs hapo mjin arusha mshahara wao ni laki 20 na mpk 150 na wanafamiliaa yaani najitafakarigi sana wakt mim hyo mishara yao ni matumiz tu ya week wao duh haki ctaki pombe tena wala mademu nimewaitimisha kuanzia Leo
 
Back
Top Bottom