Mkuu, umegonga penyewe.Ukishaoa milango ya rizk inafunguka mkuu ukiwa na mwanamke mwerev hyo laki tatu mtapanga matumizi na itatosha kabisaa..
Ukiwa single hyo laki tatu kwa mwezi haitosh hapo haujala na bado haujawa na michepuko miwili au mitatu ..ukioa utapunguza zinaa na anasa so hyo hela inatosha kabisaaa