Mkuu, umegonga penyewe.Ukishaoa milango ya rizk inafunguka mkuu ukiwa na mwanamke mwerev hyo laki tatu mtapanga matumizi na itatosha kabisaa..
Ukiwa single hyo laki tatu kwa mwezi haitosh hapo haujala na bado haujawa na michepuko miwili au mitatu ..ukioa utapunguza zinaa na anasa so hyo hela inatosha kabisaaa
Gari gani hilo kinatumia mafuta ya 15,000 kila siku mkuu?
Swala sio kutosha au kutokutosha,Inabidi itoshe tu.Hakuna cha uhalisia wala nini bali ni lazima itoshe tu kama ndo iliopoYaani 10000 kwa siku kwa familia
Yaani familia ile chai,lunch na dinner,
Watoto waende shule,
Mahitaji madogo madogo yatimie
Kiuhalisia haitoshi kabisa
Bado wewe mtafutaji unatoka asunuhi unatudi jioni maana yake lazima ule n utumie usafiri
Usimfanye mwamba akajiona anafuja pesa haitoshi laki tatu ila kwa kujibana kwa nguvu sawa inatosha
Mchawi wewe so buree....
Nimeona nyingi mkuu maana binafsi nawekaga 55,000 natumia siku 7 napokaa na kazini ni 17km (round trip) hio 15,000 kwa siku ni magari haya ya 1500CC?Mbona yapo mengi tuu mkuu.ila sijajua unashangaa kuwa ni kubwa au ndogo otherwise hii ni average minimum kwa hapa Dar to from work kutegemeana na aina ya gari
kweliKila mbhzi hula kwa urefu wa kamba yake. Kuna baadhi ya misemo wazee wetu walipatia sana.
Hiyo chai 3000 inategemea na mazingira .
Kabla ya kukujibu, jibu kwanza hili, kupokea huo mshahara unakuwa kwenye nyumba ya kupanga? nyumba hiyo iko Kariakoo au Tegeta au Goba au wapi jibu kwanza ndio utapata ufafanuzi nafahamu kwa mjini nyumba tu yenyewe ya kupanga vyumba viwili na sebule itakupa taabu sana maana una watoto
Duuuuuuuuuuuuuuh kodi ya nyumba kibongo bongo vyumba vya uswahilini si chini ya elfu 80,000 kwa mwenye familia.,,,,Maana chumba chenye umeme ni elfu 30,viwili 60,000 ukijumlisha na sebule 90,000/ ukipata kaservant kota si chini ya laki self contained.Asante kwa mchanganuo. Ila umeacha kipengele muhimu cha kodi ya nyumba. Au ni mchanganuo kwa mtu aliyejenga tayari?
Aiseee ni noma mkuu kwa mtu mwenye familia kilo 3 ni mtihani sana.Kodi anatoa wapi mkuu? Hela ya dharura mtomto kuumwa?