Kila mtu ana muda tofauti tofauti kwa nilivyo elewa mfano mimi ni 13:00 Pm
πππulikuwa na paper ww co bureOya sio poa hio miswali mkule kabisa wazeeView attachment 2873413
Hamna mzee kuna miswali mle Ukikomaa kusoma paragraph nzima ushapotea ujanja ni kukimbilia kwenye majibu. Yani majibu ndo yanatoa jibu[emoji23][emoji23][emoji23]ulikuwa na paper ww co bure
Hayo hayana shida kwenye math ndo mtiti wewe upo zone gani?Hamna mzee kuna miswali mle Ukikomaa kusoma paragraph nzima ushapotea ujanja ni kukimbilia kwenye majibu. Yani majibu ndo yanatoa jibu
Mimi nipo Dar, japo awali kwenye lile tangazo la hii kazi sikuona kama coastal zone kwa sasa ipoHayo hayana shida kwenye math ndo mtiti wewe upo zone gani?
leo paper imekua tofaut na siku zote hapo inategemea na ufaul above 50Kwa wenye uzoefu huwa wanachukua kuanzia score ngapi kuendelea hatua inayofatia?
Tutoe tongotongo imekuaje tofauti?leo paper imekua tofaut na siku zote hapo inategemea na ufaul above 50
Akikujibu nistueTutoe tongotongo imekuaje tofauti?
leo paper imekua tofaut na siku zote hapo inategemea na ufaul above 50
Umepiga ngapi mzee... haifunguki pichaOya sio poa hio miswali mkule kabisa wazeeView attachment 2873413
70Umepiga ngapi mzee... haifunguki picha
Wapo waliofanya saa 10:00Am na sisi wa 12:00pm wengine jioniKwenye email inaandka 12:00 bt kweny account inasoma 10:00 ndio sielewi kbs
π π π π π Ni spam , sio sperm jamniπ π π π πAndika spam, hiyo sperm box pengine ni testicle ndani ya scrotum [emoji38]
Za ndani unamaanisha nini?? Sisi tuliofanya saa 12:00 hawachukuiza ndani wanachukua watakao fanya saa 4
Naunga mkono tuunge group itasaidia kwa watakaopita kwenye written na oral interviewTungekua na Group Telegram au WhatsApp kwa tuliioomba Dec ingekuwa unyama huko tungepata info make inawezekana kuna wana ndugu zao ndani.