Trojan Hors
Member
- Nov 13, 2023
- 24
- 5
Unga telegram hlf tutumie link inakuwa safe zaidiNaunga mkono tuunge group itasaidia kwa watakaopita kwenye written na oral interview
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unga telegram hlf tutumie link inakuwa safe zaidiNaunga mkono tuunge group itasaidia kwa watakaopita kwenye written na oral interview
Hongera sana Mwamba.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Ni spam , sio sperm jamni[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sioni simu, sioni simu mkuu.....Vp simu zishaanza kuita ?
Kama ndio ukweli basi aptitude test siyo kipimo sahihi kwamba wenye below 80 ni vilaza wakati mtu anaweza otea tuu akapata hiyo pass mark...Kwenye Aptitude huwa wanachukua kuanzia 80,hii ni kusema kama upo below that consider yourself as unsuccessful candidate..
Lengo ni watu wapungue ndomana kuna next stage ambayo ni oralKama ndio ukweli basi aptitude test siyo kipimo sahihi kwamba wenye below 80 ni vilaza wakati mtu anaweza otea tuu akapata hiyo pass mark...
Yeah... mkuu. Uliomba??Kumbe nao walishaanz kujibu emails?
Yeah... mkuu. Uliomba??
Legal sikuiona... ila nadhani wameanza na watu wa Sales kwanza. Legal ilitoka Lin?Niliomba Ile ya Legal
Legal sikuiona... ila nadhani wameanza na watu wa Sales kwanza. Legal ilitoka Lin?
Sales officer ni kama week 4 nyuma mkuu... itakuwa mnafatiaWeek 3 nyuma
Nmb DSS western zone interview ya Oral tayari watu wamefanya na majibu yameshapewa kwa walio pitaVipi jamani tupeni mrejesho