Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

Kwenye Aptitude huwa wanachukua kuanzia 80,hii ni kusema kama upo below that consider yourself as unsuccessful candidate..
 
Kwenye Aptitude huwa wanachukua kuanzia 80,hii ni kusema kama upo below that consider yourself as unsuccessful candidate..
Kama ndio ukweli basi aptitude test siyo kipimo sahihi kwamba wenye below 80 ni vilaza wakati mtu anaweza otea tuu akapata hiyo pass mark...
 
Naombeni pia kama Kuna mtu anafahamu Written test za Human Resources Officer Msaada [emoji120]
 
Back
Top Bottom