Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Leo kila Mtanzania anafaraja kwamba baada ya kujitafuta sana leo tumejipata. Siyo kwamba hatuna team ila team inayopelekwa mbele inakosewa.
Kikosi cha leo kuna watu waliwaambia kuna 1.2 bilioni, natambua walisema hivyo hawakumaanisha ila tuwashinikize watekeleze.
Kama waliweza kuahidi fedha zote hizo endapo tutashindwa kufuzu basi wachukue 50% wawape vijana. Wasipofanya hivyo ntaomba wale watu wa maandamano wakusanye fedha watulize machungu ya vijana wamefanya vizuri
Mimi nipo Kenya, Wakenya leo wamekubali hatukwenda kuchezewa tumekwenda kucheza. Kama mkenya amekubali kwanini tusiwasaidie watoto wetu hawa wapate japo nyumba au walipe ada za wadogo zao?