Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

Ni kama nyota zinazoongozana kwa mstari mnyoofu, zikiachana kwa nafasi ndogo, zinaonekana zikiwa mbili mbili zilizokaribiana zinaacha nafasi kidogo kisha zinafuata nyingine mbili na kuendelea,tazama picha chini,sijawahi kuona kitu cha namna hii maishani.View attachment 2917366
bora wewe umeleta picha, wenye dunia na anga lao wanapita
 
Hiyo ni satelite ya Starlink, mali ya bilionea Elon Musk.

IMG_9512.jpg

IMG_9511.jpg

IMG_9510.jpg
 
Ni satelaiti za internet ya starkink inayomilikiwa na Elon Musk.

Internet hii inapatikana hata uwe bondeni, milimani, porini, kijijini, n.k.

Elon Musk alikujaha Tanzania kutaka apewe vibali ili alete ofisi zake lakini waziri wetu wa teknolokia Nnape Nnauye akazingua, kwa sasa nchi jirani zinazofaidi huduma hii ni Kenya, Rwanda, Malawi, Zambia.

View attachment 2917377
kwa hio zinakuwa zinazunguka around the world ama zinakuwa specific kwa nchi ama ukanda zinakotoa huduma?
 
Back
Top Bottom