Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni satelite ya Starlink. Iko juu sana ndiyo maana inaonekana kila sehemuSaa moja na robo usiku huu huku Mbagala kimeonekana kitu kirefu kikiwaka taa kama urefu wa mabehewa ya treni, tukio hilo limekwenda kwe dakika tano hivi kisha kikapotea, wenye taarifa watujuze.
Daaah...! Hili linchi lina watu wa ajabu. Sijui kutokuelewa?. Halafu wenyewe wanajiona ndio wanajua zaidi. Ona sasa wengine wote wanaotuzunguka tayari wako kwenye dunia hiyo. Bado miaka 10 tutakuwa nchi ya mwisho kwa kila kitu kwa hawa viongozi.Ni satelaiti za internet ya starkink inayomilikiwa na Elon Musk.
Internet hii inapatikana hata uwe bondeni, milimani, porini, kijijini, n.k.
Elon Musk alikujaha Tanzania kutaka apewe vibali ili alete ofisi zake lakini waziri wetu wa teknolokia Nnape Nnauye akazingua, kwa sasa nchi jirani zinazofaidi huduma hii ni Kenya, Rwanda, Malawi, Zambia na Msumbiji.
View attachment 2917377
Kuna takribani satelaiti elf 5 za starlink zinatembea juu ya anga hapa duniani
View attachment 2917393
Hiyo ni satelite ya Starlink, mali ya bilionea Elon Musk.
View attachment 2917389
View attachment 2917390
View attachment 2917391
No Star link kumbe, nimeangalia location yake ikaniletea na muda ambao inapita.Ni kama nyota zinazoongozana kwa mstari mnyoofu, zikiachana kwa nafasi ndogo, zinaonekana zikiwa mbili mbili zilizokaribiana zinaacha nafasi kidogo kisha zinafuata nyingine mbili na kuendelea,tazama picha chini,sijawahi kuona kitu cha namna hii maishani.View attachment 2917366
Wadau nani kaona kitu usiku huu kinapita juu kama ndege, kinaonekana kama nyota zilizopangana kama 20 hivi zimekaa kwa mstari ulionyooka zinatembea kwa kunyooka hakitoi sauti...
Soma hii link. Ni satelite. Unaweza kupiga mahesabu inavyosafiri, na kujua itakuwa sehemu gani na muda gani.Kuna kitu sijui naweza kusema ni nini, maana si ndege kwa muonekano wa taa ulivyokuwa mrefu, ila nimeshindwa kuelewa kwa sababu ya giza.
Kimetokea uelekeo wa Bagamoyo kwenda kigamboni, mliopo huko hadi mbagara mnaweza kutujuza au anayeweza kuelewa ni kitu cha aina gani.
Kwenye komenti No. #7 kuna picha mdau wa Arusha Capt Tamar aliwahi kupiga picha, vinatembea kwa mstari kama wale ndege weupe wanaoluka pamoja kwa mstari wakihama wanaopatikana dead lake njia ya Loliondo.
Nawasilisha.
daaah elfu tano!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yes, captain hivi vitu vimepita Bagamoyo uelekeo kwenda Kigamboni tumeshangazwa sababu hakuna muungurumo.
Wizara inayohusika na anga hebu tupeni taarifa usije kuta tumemwagiwa dawa wanaume wote hakuna kuzalisha mbegu [emoji2], japo watu wanashinda gym na kufanya mazoezi ya kegel [emoji16]!.