Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

Saa moja na robo usiku huu huku Mbagala kimeonekana kitu kirefu kikiwaka taa kama urefu wa mabehewa ya treni, tukio hilo limekwenda kwe dakika tano hivi kisha kikapotea, wenye taarifa watujuze.
1708965547510.jpg
 
Mayele kauomba msamaha uongozi wa yanga kwahiyo kwakua yale majini yake kapewa guede wakasema wamuagizie mengine bagamoyo ila viongozi wakasema yapitie kwanza avic town kigamboni ili tuyahakiki.

Jumla yake ni kama 1000 hivi
 
Ni satellite zimerusha mkupuo wiki iliyopita
 
Yes, captain hivi vitu vimepita Bagamoyo uelekeo kwenda Kigamboni tumeshangazwa sababu hakuna muungurumo.

Wizara inayohusika na anga hebu tupeni taarifa usije kuta tumemwagiwa dawa wanaume wote hakuna kuzalisha mbegu 😃, japo watu wanashinda gym na kufanya mazoezi ya kegel 😁!.
Wabongo bhana.....
 
How far are you sure kuwa ni satellite ya Star Link?
Mkuu hii siyo habari mpya. Kulingana na maelezo waliyotoa na picha ambayo mmoja wa members amepiga nina uhakika ndiyo yenye. Mpaka website ya ku-track itakuwa wapi na kwa muda gani ipo.

Saa moja na robo usiku huu huku Mbagala kimeonekana kitu kirefu kikiwaka taa kama urefu wa mabehewa ya treni, tukio hilo limekwenda kwe dakika tano hivi kisha kikapotea, wenye taarifa watujuze.

Itakuwa satelaiti....

Kuna wakati ISS huwa inaonekana kama nyota inayotembea kwa kasi angani haswa ukiwa upande wa kaskazini au kusini mwa dunia...
 
Usiwaze ni mimi nilikua nawapimia mipaka Alien niliwadanganya mi ndo mmiliki wa mbingu upande huo
 
Saa moja na robo usiku huu huku Mbagala kimeonekana kitu kirefu kikiwaka taa kama urefu wa mabehewa ya treni, tukio hilo limekwenda kwe dakika tano hivi kisha kikapotea, wenye taarifa watujuze.
Yani dk 5 ukashindwa kupata picha?
 
Back
Top Bottom