Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dakika tano yote ukashindwa piga hata kapichaSaa moja na robo usiku huu huku Mbagala kimeonekana kitu kirefu kikiwaka taa kama urefu wa mabehewa ya treni, tukio hilo limekwenda kwe dakika tano hivi kisha kikapotea, wenye taarifa watujuze.
Kwa hiyo viko 24Nipo Arusha,nimeviona muda huu,nikafungua uzi kama huu,picha hii hapaView attachment 2917371
Yes, captain hivi vitu vimepita Bagamoyo uelekeo kwenda Kigamboni tumeshangazwa sababu hakuna muungurumo.Nipo Arusha,nimeviona muda huu,nikafungua uzi kama huu,picha hii hapaView attachment 2917371
Mbona picha za uwongo.Hiyo ni satelite ya Starlink, mali ya bilionea Elon Musk.
View attachment 2917389
View attachment 2917390
View attachment 2917391
zinazunguka dunia nzima, zipo satalaiti elf 5 za starlink,kwa hio zinakuwa zinazunguka around the world ama zinakuwa specific kwa nchi ama ukanda zinakotoa huduma?
Uko mkoa gani kwanzaNi kama nyota zinazoongozana kwa mstari mnyoofu, zikiachana kwa nafasi ndogo, zinaonekana zikiwa mbili mbili zilizokaribiana zinaacha nafasi kidogo kisha zinafuata nyingine mbili na kuendelea,tazama picha chini,sijawahi kuona kitu cha namna hii maishani.View attachment 2917366
😆😆😆😆 lipa madeni weweBora watulipue nisiwalipe madeni ysnu
hatari sana mzee babaHiyo ni satelite ya Starlink, mali ya bilionea Elon Musk.
View attachment 2917389
View attachment 2917390
View attachment 2917391
Hapa mabwepande.Nimehesabu nyota zipo 25
Mbona picha za uwongo.
Dar na milima wapi na wapi?
Picha ya mwisho angalia tarehe, siku, mwaka na mudaa huu saa ngapi
Acha kuandika ujinga hapa. Wewe ndiye mwenye taarifa halafu unataka sisi tukujuze.Saa moja na robo usiku huu huku Mbagala kimeonekana kitu kirefu kikiwaka taa kama urefu wa mabehewa ya treni, tukio hilo limekwenda kwe dakika tano hivi kisha kikapotea, wenye taarifa watujuze.