Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunahitaji kujua zaidi ya hizi taharuki. Mambo ya kisayansi yameshika hatamu
kwa ratio ya ukubwa wa dunia na satelite hivyo vikolokolo haviziwez kuonekana au kwa uwiano huo wa picha dunia ya ukubwa huo na satelite za ukubwa huo bas amin kwamba satelite zako zingekua na ukwa wa mamia ya kilometer za mraba
comment ya 3mkuu ungejua ninavyomchukia kilaza NAPE usingeanzisha hii thread
Hii umeangalia vipi mkuuNo Star link kumbe, nimeangalia location yake ikaniletea na muda ambao inapita.
Kama vimeelekea Kigamboni basi ndiyo vimetoka Egypt kwa Mayele vinarudi Avic Town kupumzika.Kimetokea uelekeo wa Bagamoyo kwenda kigamboni,
Bado kuna watu walimwambia mwamba lazima ufungue ofisi darslam🤣🤣🤣🤣
Kazi millet boy anaupiga mwingiFun fact:
StarLink wanawezesha upatikanaji wa intaneti yenye kasi kwa bei nafuu.
Elon Musk alipoulizwa kama ana mpango wa kupeleka StarLink Tanzania, akajibu kwamba ameshapeleka proposal kwa serikali ya Tanzania na waanangojea majibu.
Yule anayepaswa kutoa majibu akatoa majibu mepesi kwamba hadi Musk ajenge ofisi hapa bongo!!
Intaneti ya Musk ingekuwa ukombozi mkubwa kwa huu utumwa wa intaneti unaoendelea.
Fun fact starlink iko Kenya na Rwanda ambako Starlink hawana ofisi.
Takataka.
View attachment 2917403
Alien nnNipo Arusha,nimeviona muda huu,nikafungua uzi kama huu,picha hii hapaView attachment 2917371