Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

Hizo ni satelite za starlink

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi nimeshuhudia hilo nikiwa mitaa ya kinyerezi tukajiuliza ni kitu gani
 
lazima wakatae, watapataje 10% zao za makampun ya huku kwetu ,, na elon hana kona kona
 
Itakuwa satelaiti....

Kuna wakati ISS huwa inaonekana kama nyota inayotembea kwa kasi angani haswa ukiwa upande wa kaskazini au kusini mwa dunia...
Unahakikisha vipi kuwa ISS na si nyota tu fulani
 
Nimeona Bhasi?
Taarifa tu wengi walinicheck wakisema eti mwisho wa Dunia..
Kuna wa Mkuranga,yupo aliyekuwa Arusha na yupo aliyekuwa Dodoma, Na mwingine Morogoro
Mbona inaleta picha vile, sisi huku tumeamua kulala nje ili likirudi tulione lisije likatuzikia ndani kana Gaza.
 
ni hizi ushamba mzigo
 

Attachments

  • az_recorder_20240226_232406.mp4
    2.4 MB
ISS inaonekana kutokea duniani kwa macho?
Mara kadhaa naiona ISS hasa kwenye jua kali. Inabidi ule timing kubwa na ubahatike kuiona, sababu haionekani usiku kwa vile haina taa za mwanga mkali. Jua likiipiga ukawa kwenye position ya kuona reflection ndio unaiona.
Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikiiona sikumbuki mara ngapi ila.
 
Inaonekanaje na mimi niion, unaona kabisa shape yake au.

Pia ukisema hainekani usiku haina taa kwani satellite za kawaida zina taa kama hizi za lwo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…