Mie pia na shut down bar businessAsante Mkuu ila la miezi 8 punguza kidogo
Kufa ni wajib ila pia cha moto kinakuja
Niko ndani week tu utafikiri mwezi mpaka siku nimezisahau
Ila kuna ajabu sana naiona huku wale walikuwa wanacheza kamari kwisha habari yao
Wauza pombe wote wamefunga biashara na kuna watu nawajua wanakunywa wanasema hawanywi tena na hela wana save kwa chakula [emoji23]
Kweli watu wengi wameeanza kuijua thamani ya hela na hali ikiendelea hivi hata thamani yake hatutaiona kabisa maana una chakula kimejaa nyumbani
Gari halili mafuta tena na mwisho hela unaiona kama karatasi tu hainunui hata toilet paper
Mkuu futa kauli ya miezi 8 tutawehuka humu
Acha nikaruke ruke garden
Sent from my iPhone using Tapatalk
Dah hivi zile mishe hata za kiswazi swazi watu hawakimbizi tena. Mambo ya mishkaki ya paka,.kachori na supu ya pwezaNafanya biashara ya kuuza bidhaa za kampuni flani, juzi wamenipa taarifa kwamba stock yao inakaribia kukata, hivyo bidhaa yao haitakuwa sokoni kwa muda huu corona imefunga mipaka.
Sent using Fly in any Weather.
Hali ipo poa tu,biashara zinasonga kiaina bado hatujafikia huko.Hii ni kwa Wakulungwa na wanaharakati na wabishi mliopo Bongo DSM.
Naomba kujuzwa hali ya biashara ikoje kwa sasa kwa scales zote yani biashara kubwa na ndogo ndogo za kitaa?
Ndoo za plastiki zimepanda bei, na zimekuwa dili. Biashara njema kwa waziuzazo. Vibomba vya plastiki vya kuweka kwenye ndoo, navyo si haba. Sanitaiza. Na bidhaa zote ziendanazo na wakati uliopo, soko lake zuri kwa wachuuzi.
Levo siti imesababisha fursa ya kuchukua leseni za muda mfupi LATRA kwa wanaotaka kujiunga kutatua tatizo la usafiri. Bodaboda na Bajaji ruksa CBD. Hili ni soko zuri lengine.
Hapa nilipo naweza sijui nifunge hii niuze hata bangi kiuficho?
mkuu umefanya nicheke kwa sauti....ila hali iliyopo kwa sasa ni bora kuunganisha doti kama unavosema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanasema Jamaica corona hakuna sasa najaribu kuunganisha dot
Sent from my iPhone using Tapatalk
mkuu umefanya nicheke kwa sauti....ila hali iliyopo kwa sasa ni bora kuunganisha doti kama unavosema
Kiaina babu sio kivile!Uko
nyanja ipi mkuu?
Hii ni kwa Wakulungwa na wanaharakati na wabishi mliopo Bongo DSM.
Naomba kujuzwa hali ya biashara ikoje kwa sasa kwa scales zote yani biashara kubwa na ndogo ndogo za kitaa?
😂 😂 😂 😂 😂JIWE a,mevurga kila kitu kakimbilia chamwino
Jiwe na ushamba wake ame paralyse uchumiMimi npo mnazi mmoja ya lindi nafanya ni agent kwenye bus za dar..ndugu yangu hasikwambie SHOW NGUMU yani kwa siku hazifiki buses 15 znazoenda dar kutoka shm zote za kusini.
Sent using Jamii Forums mobile app