Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Mkuu kila kona ni hofu, TRA wanakusanya madeni hata kama lilikuwa la babu yako.🤣🤣🤣🤣🤣 huyo jamaa bana...
Kwahio hapaingiliki hata kwa njia za panya hapo town?
Pamoja na hayo yote sasaivi hatusikia mapato wayapatayoMkuu kila kona ni hofu, TRA wanakusanya madeni hata kama lilikuwa la babu yako.
Ngombe amekamuliwa maziwa sasa inatoka damu
Zile mbwembwe zishaishaPamoja na hayo yote sasaivi hatusikia mapato wayapatayo
Ndugu kusini yote gari hazifiki 15?.Acha kuleta chai zako.Yaani gari za kutoka Mtwara,Newala,Masasi,Tandahimba,Ruangwa,Nachingwea hazifiki 15?.Mimi npo mnazi mmoja ya lindi nafanya ni agent kwenye bus za dar..ndugu yangu hasikwambie SHOW NGUMU yani kwa siku hazifiki buses 15 znazoenda dar kutoka shm zote za kusini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora level seat tu, tena iwe endelevuSasa chagueni kati ya kupata Covid-19 au kukaa level sit😁
Hivi kubeba watu kwenye Baiskeli inaweza kuwa Hustle inayolipa kipindi hiki Kariako-Azizially.
Inafaida gani kibiashara sio kwenye kijirinda na mgonjwa.Wangebuni pikipiki ya mita 2 kama kuongeza frame iwe ndefu
Abiria anakaa mbali na dereva
Ngoja nianze ubunifu huo
Sent from my iPhone using Tapatalk
Inafaida gani kibiashara sio kwenye kijirinda na mgonjwa.
Inaelekea unajua maisha ya ID zote zilizocomment kwenye hii mada sio??
NdiwoooYaani sasaivi biashara iliyobakia ni ile ya kuuza kitu cha 100,200,500 mpaka elfu tu,juu ya hapo hakuna biashara
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]are u serious?ebu tulia mkuu huko kwa sasa sio sehemu ya kwenda biashara nasikia imeshuka jana nilikua naelekea huko bongo kufika mbezi nasikia kuna mgonjwa korona kavuta nikamwambia kondakta asimamnishe basi nirudi zangu mkoani