Mliopo Dar, hali ya kibiashara ikoje sasa?

Mliopo Dar, hali ya kibiashara ikoje sasa?

🤣🤣🤣🤣🤣 huyo jamaa bana...

Kwahio hapaingiliki hata kwa njia za panya hapo town?
Mkuu kila kona ni hofu, TRA wanakusanya madeni hata kama lilikuwa la babu yako.
Ngombe amekamuliwa maziwa sasa inatoka damu
 
Mimi npo mnazi mmoja ya lindi nafanya ni agent kwenye bus za dar..ndugu yangu hasikwambie SHOW NGUMU yani kwa siku hazifiki buses 15 znazoenda dar kutoka shm zote za kusini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu kusini yote gari hazifiki 15?.Acha kuleta chai zako.Yaani gari za kutoka Mtwara,Newala,Masasi,Tandahimba,Ruangwa,Nachingwea hazifiki 15?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wakulungwa ni wale machalii wananogesha mazishi..? [nimeona viclip uchwara wakicheza kwa madoido].

Kama ni hao basi, biashara yao ya majeneza inawalipa sana.
 
Inafaida gani kibiashara sio kwenye kijirinda na mgonjwa.

Kujilinda Mkuu
Huku nilipo baadhi ya magari wameweka plastic cover baina ya abiria na dereva kwa kuogopa Corona
London taxi zina vioo katikati sasa wameiga wengi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Na bado, endeleeni tu kushabikia na kuchagua CCM huku wenzenu akina Makonda wakitumbua na kufuja kodi zenu.
 
Tuliokuwa tunaendesha maisha kwa kubet,sasa ngoma nzito ukiforce unapoteza mtaji
 
ebu tulia mkuu huko kwa sasa sio sehemu ya kwenda biashara nasikia imeshuka jana nilikua naelekea huko bongo kufika mbezi nasikia kuna mgonjwa korona kavuta nikamwambia kondakta asimamnishe basi nirudi zangu mkoani
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]are u serious?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom