Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Watu hawafanyi biashara. Wateja wamejifungia wanaogopa coronaHii ni kwa Wakulungwa na wanaharakati na wabishi mliopo Bongo DSM.
Naomba kujuzwa hali ya biashara ikoje kwa sasa kwa scales zote yani biashara kubwa na ndogo ndogo za kitaa?
unakufa kwa uzembe halafu kanatokea kajamaa ka bodaboda kana mrithi mkeo raha mustarehe wanajilia vyao kihalali,daah inauma sana unajuaKila mtu na ufahamu wake unataka nimuache mjene mkengu na watoto kwa ajiri ya uzembe wangu !nimegeuza zangu chap leo nimefika home nacheza na wangu korona sio jambo la kispotispoti
Yani kama wewe unapataje tabu apa mjini sasa.Kwani mi nikoje mkuu?
Kama unayo mahela hebu jaribu kunipa basi
inabidi tuhamie huko huku kwingine tutakufa na njaaWauza nafaka ndio wanatamba tu mjini hapa...semi zinashusha mchele na mahindi kama hawana akili nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
duh vipi kuhusu bike na bajaji?
Duh..juzi nilichukua uber nikaanza ongea na driver...bwana yule dogo anamake balaa! Alinionesha route za kutoka sa2 had saa6 amekusanya 83!...!nikaomba urafiki naye