Kuhoji Uungu wa Yesu kunaonesha binadamu mwenye uwezo mdogo sana wa kutafakari,sishangai,kama mnaweza kuhifadhi quran na kuiimba kama kasuku hakuna cha ajabu.
Huwezi kujua kama Yesu alisema yeye ni mungu kama humjui Mungu wa kweli,Mungu mwenye uwezo wa ktoa na kurejesha UHAI,Mungu mwenye uwezo wa Kusamehe DHAMBI.
Naandika hapa chini yale ambayo Yesu wa Nazareth aliyasema walikokuwa wanamsikiliza kwa vile walikuwa wanamjua Mungu wa Kwweli na sifa zake walidhani Yesu anakufuru
Strictly for human being who have the uncorrupted brain.
I am not sure if I there is even a single Muslim with such quality...
This is Jesus of Nazareth.
---"Your father Abraham rejoiced as he looked forward to my coming. He saw it and was glad."
The people said, "You aren't even fifty years old. How can you say you have seen Abraham?"
Jesus answered, ''Truly,Truly I say to you BEFORE ABRAHAM WAS BORN, I AM''
---"The Father and I are one." Once again the people picked up stones to kill him.
Jesus said, "At my Father's direction I have done many good works. For which one are you going to stone me?"
They replied, "We're stoning you not for any good work, but for blasphemy! You, a mere man, claim to be God."
---"You call me 'Teacher' and 'Lord,' and you are right, because that's what I am'' remember those who called Jesus Lord they know what the word Lord mean for Jews of Jesus Time[SUP] .
[/SUP]---Jesus told him, "I am the way, the truth, and the life. No one can come to the Father except through me. If you had really known me, you would know who my Father is. From now on, you do know him and have seen him!"
Philip said, "Lord, show us the Father, and we will be satisfied."
Jesus replied, "Have I been with you all this time, Philip, and yet you still don't know who I am? Anyone who has seen me has seen the Father! So why are you asking me to show him to you
---"My sheep hear my voice, and I know them, and they follow me. I give them eternal life, and they will never perish, and no one will snatch them out of my hand
---''...that you may know that the Son of Man has authority on earth to forgive sins"--he then said to the paralytic--"Rise, pick up your bed and go home." And he rose and went home. When the crowds saw it, they were afraid, and they glorified God..."
ONYO:KUKARIRI NI MARUFUKU
Huu ni ukumbusho wa rehema ya Mola wako mlezi kwa mja wake,Zakariya. 19:2 qur'an
Alipo mwita Mola wake mlezi kwa siri.19:3
Akasema:Mola wangu mlezi! Mafupa yangu yamedhoofika na kichwa kinameremeta kwa mvi;
Wala, Mola wangu mlezi sikuwa mwenye bahati mbaya kwa kukuomba wewe.19:4
Na hakika mimi nawakhofia jamaa zangu baada yangu. Na mke wangu ni tasa. Basi nipe mrithi kutoka kwako.19:5
Atakaye nirithi mimi na awarithi ukoo wa Yaaqub. Ewe Mola wangu mlezi! Na umjaalie awe mwenye kuridhisha.19:6
(Akaambiwa): Ewe Zakariya! Hakika sisi tunakubashiria mwana; jina lake ni Yahya. Hatujapata kumpa jina hilo yeyote kabla yake.19:7
Akasema: Ewe Mola wangu mlezi! Vipi nitakuwa na mwana na hali mke wangu ni tasa, na mimi nimesha fikia ukongwe katika uzee?19:8
Akasema: Ndio hivyo hivyo amesema Mola wako mlezi: Haya ni mepesi kwangu. Na hakika mimi nilikwisha kuumba wewe zamani na hali hukuwa kitu.19:9
Akasema: Mola wangu mlezi nijaalie ishara. Akasema ishara yako ni kuwa hutasema na watu kwa masiku matatu, na hali ni mzima.19:10
Basi akawatokea watu wake kutoka mihirabuni. Akawaashiria: Msabihini Mwenyezi mungu asubuhi na jioni.19:11
Ewe Yahya! Kishike Kitabu kwa nguvu! Nasi tulimpa hikima angali mtoto.19:12
Na tukampa huruma itokayo kwetu, na utakaso, na akawa mchaMungu.19:13
Na akawa mwema kwa wazazi wake, wala hakuwa jabari mua'si.19:14
Na amani iwe juu yake siku ya kuzaliwa, na siku ya kufa,na siku ya kufufuliwa.19:15
Na mtaje Maryamu katika kitabu,pale alipojitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki;19:16
Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu.19:17
(Maryamu) akasema: Hakika mimi najikinga kwa mwingi wa rehema aniepushe nawe, ukiwa ni mchaMungu.19:18
(Malaika) akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako mlezi ili nikubashirie tunu ya mwana aliye takasika.19:19
Akasema: nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa,wala mimi si kahaba?19:20
(Malaika) akasema: Ndio hivyo hivyo! Mola wako mlezi amesema: Haya ni mepesi kwangu! Na ili tumfanye kuwa ni Ishara kwa watu, na rehema itokayo kwetu,na hilo ni jambo lilio kwisha hukumiwa.19:21
Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali.19:22
Kisha uchungu ukampelekea kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!19:23
Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!19:24
Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.19:25
Basi kula, na kunywa,na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu.19:26
Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!19:27
Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu,wala mama yako hakuwa kahaba.19:28
Akawaashiria ( mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi?19:29
( Mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi mungu. Amenipa Kitabu,na amenifanya Nabii.19:30
Na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. Na ameniusia Sala na Zaka maadamu ni hai.19:31
Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya niwe jeuri,mwovu.19:32
Na amani iko juu yangu siku niliyo zaliwa,na siku nitakayo kufa,na siku nitalayo fufuliwa kuwa hai.19:33
Huyo ndiye Isa mwana wa Maryamu. Ndiyo kauli ya haki ambayo wanaifanyia shaka.19:34
Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanahu,yeye ametakasika! Anapo lihukumuia jambo basi huliambia tu: Kuwa! Likawa.19:35
Na hakika Mwenyezi mungu ni Mola wangu mlezi,na Mola wenu mlezi. Basi muabuduni yeye. Hii ndiyo Njia iliyo Nyooka.19:36
Lakini makundi yakakhitilafiana wao kwa wao. Basi ole wao hao walio kufuru kwa kuhudhuria siku iliyo kuu!19:37
Watasikia na wataona vizuri vilioje siku watakayo tufikia! Lakini madhalimu sasa wamo katika upotofu ulio dhaahiri.19:38
Na waonye siku ya majuto itapo katwa amri. Nao wamo katika ghafla,wala hawaamini.19:39
Hakika sisi tutairithi ardhi na walio juu yake. Na kwetu watarejeshwa.19:40