Nyakipambo
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 435
- 141
hakuna mahala yesu alipokiri na kusema "mimi ni mungu"
Hivi mtu ukiwa muislam unakuwa irrational namna hii? Hapo ulipomnukuu huyo jamaa wapi kaandika Yesu ni Mungu? Kweli uislam ni mzigo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna mahala yesu alipokiri na kusema "mimi ni mungu"
Maandiko yapi uliyoyatoa?,coz unachotaka kukijua huwezi kukielewa kamwe!Utatu mtakatifu wa Mungu yaani Mungu baba,mungu mwana(yesu)nafsi ya pili,Mungu roho(roho mtakatifu)nafsi ya tatu. So usikufuru kwamba tunasingizia roho mtakatifu
Njiwa wrote: hakuna mahala yesu alipokiri na kusema "mimi ni mungu" YESU AMETAMKA MARA NYINGI NDANI YA BIBLIA KUWA NI MUNGU (Katika ushirika na Mungu Baba) Soma Kwa mfano YOHANA 17: 1-11 Baba, saa imewadia, umtukuze Mwanao, ili Mwanao apate kukutukuza Wewe. Kwa kuwa umempa mamlaka juu ya wote wenye mwili ili awape uzima wa milele wale uliompa. Nao uzima wa milele ndio huu, wakujue Wewe uliye MUNGU wa pekee, wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma. Nimekutukuza Wewe duniani kwa kuitimiza ile kazi uliyonipa niifanye. Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele Zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na Wewe kabla ulimwengu haujakuwako. Nimewajulisha Jina Lako wale ulionipa kutoka katika ulimwengu. Walikuwa Wako, ukanipa Mimi, nao wamelitii Neno Lako. Sasa wamejua ya kuwa vyote ulivyonipa vimetoka Kwako, 8kwa kuwa maneno yale ulionipa nimewapa wao, nao wameyapokea na kujua kwamba kweli nimetoka Kwako, nao wameamini kuwa Wewe ulinituma. Ninawaombea wao. Mimi siuombei ulimwengu, bali nawaombea wale ulionipa kwa sababu wao ni Wako. Wote walio Wangu ni Wako na walio Wako ni Wangu, nami nimetukuzwa ndani yao. Mimi sasa simo tena ulimwenguni, lakini wao bado wamo ulimwenguni, nami naja Kwako. Baba Mtakatifu, uwalinde kwa uweza wa Jina Lako ulilonipa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo wamoja.YOHANA 17: 21-22: ili wawe na umoja kama vile Wewe Baba ulivyo ndani Yangu na Mimi nilivyo ndani Yako, wao nao wawe ndani yetu,ili ulimwengu upate kuamini ya kuwa Wewe ndiye uliyenituma Mimi. Utukufu ule ulionipa nimewapa wao, iliwawe na umoja kama Sisi tulivyo wamoja.
Hebu pitia hapa:Ndo manaake,Baba V, nashangaa hawajibu hili! Ndo maana naunga mkono hoja ya mungu wao na wetu ni tofauti
Hivi ninyi ndugu mlioanza kuleta hoja za Yesu hivi na vile, nanyi mlioingiza Muhammada hivi na vile ndio m-memjibu mleta hoja?
Haishangazi matoleo ya mtihani wa sekondari asilimia 90 wamefeli!
hakuna mahala yesu alipokiri na kusema "mimi ni mungu"
hakuna mahala yesu alipokiri na kusema "mimi ni mungu"
Yaani uliyaandika ni ushahidi tosha kwamba Yesu ni mjumbe tu kama wajumbw wengine wa Mungu, hakuna sehemu ambapo amesema yeye ni Mungu!
Hahaaa hahaa nacheka tu michango ya watu hapa, wameanza kama vile wanakwepa kujiingiza katika hoja hii kidini, mwisho wa siku wamezama tenakwa mahubiri makuu.
Kwa mujibu wa bibilia yesu ame tahiriwa hivi ni kweli mungu wenu alikuwa na govi. pia mama wa yesu anaitwa maliam sasa swali, kama ni kweli yesu mwana wa mungu jiulize na utwambie maliam na mungu wana itanaje? ndio maana sisi tuna sema nyie ni makafiri.
hakuna mahala yesu alipokiri na kusema "mimi ni mungu"
Hivi mtu ukiwa muislam unakuwa irrational namna hii? Hapo ulipomnukuu huyo jamaa wapi kaandika Yesu ni Mungu? Kweli uislam ni mzigo!
Kuhoji Uungu wa Yesu kunaonesha binadamu mwenye uwezo mdogo sana wa kutafakari,sishangai,kama mnaweza kuhifadhi quran na kuiimba kama kasuku hakuna cha ajabu.
Huwezi kujua kama Yesu alisema yeye ni mungu kama humjui Mungu wa kweli,Mungu mwenye uwezo wa ktoa na kurejesha UHAI,Mungu mwenye uwezo wa Kusamehe DHAMBI.
Naandika hapa chini yale ambayo Yesu wa Nazareth aliyasema walikokuwa wanamsikiliza kwa vile walikuwa wanamjua Mungu wa Kwweli na sifa zake walidhani Yesu anakufuru
Strictly for human being who have the uncorrupted brain.
I am not sure if I there is even a single Muslim with such quality...
This is Jesus of Nazareth.
---"Your father Abraham rejoiced as he looked forward to my coming. He saw it and was glad."
The people said, "You aren't even fifty years old. How can you say you have seen Abraham?"
Jesus answered, ''Truly,Truly I say to you BEFORE ABRAHAM WAS BORN, I AM''
---"The Father and I are one." Once again the people picked up stones to kill him.
Jesus said, "At my Father's direction I have done many good works. For which one are you going to stone me?"
They replied, "We're stoning you not for any good work, but for blasphemy! You, a mere man, claim to be God."
---"You call me 'Teacher' and 'Lord,' and you are right, because that's what I am'' remember those who called Jesus Lord they know what the word Lord mean for Jews of Jesus Time[SUP] .
[/SUP]---Jesus told him, "I am the way, the truth, and the life. No one can come to the Father except through me. If you had really known me, you would know who my Father is. From now on, you do know him and have seen him!"
Philip said, "Lord, show us the Father, and we will be satisfied."
Jesus replied, "Have I been with you all this time, Philip, and yet you still don't know who I am? Anyone who has seen me has seen the Father! So why are you asking me to show him to you
---"My sheep hear my voice, and I know them, and they follow me. I give them eternal life, and they will never perish, and no one will snatch them out of my hand
---''...that you may know that the Son of Man has authority on earth to forgive sins"--he then said to the paralytic--"Rise, pick up your bed and go home." And he rose and went home. When the crowds saw it, they were afraid, and they glorified God..."
ONYO:KUKARIRI NI MARUFUKU
Waebrania 1:8, "Lakini juu ya mwana Mungu alisema, "Na Kiti chako cha enzi, wewe Mungu, Kitadumu milele, na haki itakuwa fimbo ya ufalme wako."
kwenye red hayo maneno kasema nani alikuwa akiambiwa nani