[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah umewaza mbali sanHayo mashule ukitaka kupata uhalisia anza kufuga yale makuku ya kizungu ndo utajua yani mpaka kuyaliya, kuyabeba , yani yapo tuu, hao mpaka vyombo wanatolewa darasani
Shule za serikali ndio zimejaza mazezeta na matikiti maji...Private schools nyingi zimejaza matoto mazezeta
Ni kweli kwasababu hatutafuniwi.Shule za serikali ndio zimejaza mazezeta na matikiti maji...
Zero nyingi zinatoka shule za kata za serikali
Ndo mwishoni huku wanakuja kuishia kuwa mazoba yn bila ajira bs maisha yao hayaendiHayo mashule ukitaka kupata uhalisia anza kufuga yale makuku ya kizungu ndo utajua yani mpaka kuyaliya, kuyabeba , yani yapo tuu, hao mpaka vyombo wanatolewa darasani
Hahahahahaaa we ulikua hufai aisee unanikumbusha mbali sanaSiku za wali nlikuwa naenda kwenye foleni saa 7 badala ya nane nikiwa na kile kisado cha lita 3 ili punga lionekane chache mgawaji apate moyo wa kuongeza kidogo..
[emoji1] [emoji1]
Siku zinaenda aiseeh!
Kweli jamaa anazumzia akili za kuvunja utaratibu wa chakula mtu anamaliza form 4 hata kujieleza tuu nitatizo ndio wale wa zeee is Sir,Madam And Hon. SpeakerShule za serikali ndio zimejaza mazezeta na matikiti maji...
Zero nyingi zinatoka shule za kata za serikali
Ndio tatizo letu..yaani watu wanaona uhuni na kuvunja sheria kama ndio ujanja..Kweli jamaa anazumzia akili za kuvunja utaratibu wa chakula mtu anamaliza form 4 hata kujieleza tuu nitatizo ndio wale wa zeee is Sir,Madam And Hon. Speaker