Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
Enzi hizo hapo yani mi kwenye foleni hyo Sikai kabisa.....natumia ujanja ujanja mpka nachukua ugali wangu nasepa....
Kuna siku moja ilikua ni ya wali jumatano.....ile kuhangaika jamaa libabe LA form four likanidaka bhana...daaah nilikula kwenzi nying sana afu na msosi sikupata.....sitakuja kusahau ile njaa ya kukosa wali.