Mliosoma na Kubobea katika 'Psychology' kupitia Picha 'Magogoni' ni nani aliomba Msamaha kidogo na nani aliombwa Msamaha zaidi na Kujutia?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Binafsi nimeangalia Picha Tano ( 5 ) zote nimeona tu Kuna Mtu Sura yake ni ya Utulivu na ya Umakini ila ya Mtu mwingine kila mara anabembeleza, anatabasamu, anataka yaishe, anaomba Msamaha kwa Mikono, mara avae Barakoa na mara aivue na anaonekana Kashukuru kwa Kuutua Mzigo uliokuwa ukimuelemea.

Wataalam wa 'Psychology' mmeonaje?
 
Aliyejikunyata ndo kaomba msamaha.
 
Picha iko wapi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…