GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Binafsi nimeangalia Picha Tano ( 5 ) zote nimeona tu Kuna Mtu Sura yake ni ya Utulivu na ya Umakini ila ya Mtu mwingine kila mara anabembeleza, anatabasamu, anataka yaishe, anaomba Msamaha kwa Mikono, mara avae Barakoa na mara aivue na anaonekana Kashukuru kwa Kuutua Mzigo uliokuwa ukimuelemea.
Wataalam wa 'Psychology' mmeonaje?
Wataalam wa 'Psychology' mmeonaje?