Mliosoma PCM vipi maendeleo kwenye ndoa?

Mliosoma PCM vipi maendeleo kwenye ndoa?

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Wale wenzangu mliosoma PCM baadhi yenu tena kwenye shule za vipaji na mkafanikiwa kuwa na wenzi. Vp PCM imekusaidia chochote kwenye ndoa? Au unapelekeshwa Kama boya?

1214208_xsa.jpg


 
Differential equations, calculus, trigonometry, coordinate geometry, complex numbers, logarithims, dah... nimekumbuka mbali... japo leo nina apply hesabu kiasi kwenye trigonometry na coordinate geometry, nashukuru Mungu foundation nzuri ya PCM ndio imeniwezesha kufika hapa... long live mathematicians. Tuko wachache sana Tanzania hii.. kwa matokeo ya 4m4 mwaka jana, 82% ya watahiniwa walikula Mswaki kwenye namba... only 19% got A- D... you can imagine sasa waliopata A ni asilimia ngapi? Waliokwenda PCM ni wangapi.. nina imagine hawafiki hata 5%
.. PCM oyeeeeeeee
 
Calculations za PCM na ndoa haziendani
Zinaendana sana, tunafanya approximations nyingi na tunafanikiwa kwenye ndoa.
Pia probabilities nyingi zinasaidia ku approximate probabilities za watoto kuwa wetu maana muda mwingi tunakaa na wake zetu na muda mchache wanatoka!
 
Differential equations, calculus, trigonometry, coordinate geometry, complex numbers, logarithims, dah... nimekumbuka mbali... japo leo nina apply hesabu kiasi kwenye trigonometry na coordinate geometry, nashukuru Mungu foundation nzuri ya PCM ndio imeniwezesha kufika hapa... long live mathematicians. Tuko wachache sana tanzania hii.. kwa matokeo ya 4m4 mwaka jana, 82% ya watahiniwa walikula Mswaki kwenye namba... only 19% got A- D... you can imagine sasa waliopata A ni asilimia ngapi??? Waliokwenda PCM ni wangapi.. nina imagine hawafiki hata 5%
.. PCM oyeeeeeeee
Nami PCM imeninufaisha sana. Vilevile Chuo nilichosoma jamaa wengi walikuwa hawajui Maths basi nilikuwa nawaburuza ni balaa. Wakiniona lazima wanisalimie kwa heshima. Mademu ndio ilikuwa balaa walikuwa wanatamani hata kunibeba mgongoni. Kimsingi nilitusua sana Mazee!
 
Zinaendana sana, tunafanya approximations nyingi na tunafanikiwa kwenye ndoa.
Pia probabilities nyingi zinasaidia ku approximate probabilities za watoto kuwa wetu maana muda mwingi tunakaa na wake zetu na muda mchache wanatoka!
Okay
 
Back
Top Bottom