Mliosoma PCM vipi maendeleo kwenye ndoa?

Mliosoma PCM vipi maendeleo kwenye ndoa?

Nami PCM imeninufaisha sana. Vilevile Chuo nilichosoma jamaa wengi walikuwa hawajui Maths basi nilikuwa nawaburuza ni balaa. Wakiniona lazima wanisalimie kwa heshima. Mademu ndio ilikuwa balaa walikuwa wanatamani hata kunibeba mgongoni. Kimsingi nilitusua sana Mazee!
jamaa anazungumzia muda huu inakusaidia vipi ?
 
Nilikitika sana nilpopata F ya Maths,nikapiga moyo konde nikapiga combination ya Art FM 6
Kimbembe nikakikuta chuo course ya TAX AND CUSTOM MANAGEMENT Kuna hesabu za kutosha na matokeo kupata namba za viatu ikawa poa
 
Back
Top Bottom