billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,443
- 1,656
Tuna integrate na dx/dy kwenye Ndoa..Wale wenzangu mliosoma PCM baadhi yenu tena kwenye shule za vipaji na mkafanikiwa kuwa na wenzi. Vp PCM imekusaidia chochote kwenye ndoa?
View attachment 2232346
Kwani ndoa inasomewa?Wale wenzangu mliosoma PCM baadhi yenu tena kwenye shule za vipaji na mkafanikiwa kuwa na wenzi. Vp PCM imekusaidia chochote kwenye ndoa?
View attachment 2232346
Calculations za PCM na ndoa haziendani
OyeeeDifferential equations, calculus, trigonometry, coordinate geometry, complex numbers, logarithims, dah... nimekumbuka mbali... japo leo nina apply hesabu kiasi kwenye trigonometry na coordinate geometry, nashukuru Mungu foundation nzuri ya PCM ndio imeniwezesha kufika hapa... long live mathematicians. Tuko wachache sana tanzania hii.. kwa matokeo ya 4m4 mwaka jana, 82% ya watahiniwa walikula Mswaki kwenye namba... only 19% got A- D... you can imagine sasa waliopata A ni asilimia ngapi??? Waliokwenda PCM ni wangapi.. nina imagine hawafiki hata 5%
.. PCM oyeeeeeeee
Hii ni kweli asee daah 🤣Sura ngumu
Discrete math 🤗🤗🤗🤗Pcm mmesoma Number theory nyie?
Inferioty complex on fulikiiiiiii...!!!Wale wenzangu mliosoma PCM baadhi yenu tena kwenye shule za vipaji na mkafanikiwa kuwa na wenzi. Vp PCM imekusaidia chochote kwenye ndoa?
View attachment 2232346
Tuna-apply trajectory kwenye ndoa. Unaweka force kwenye ndo ikiwa kwenye launch angle fulani, unajuwa wife atatua pale..!!!Tuna integrate na dx/dy kwenye Ndoa..
OkayMajority wanaume waliosoma PCM ndoa zao zina shida sana na wengi hawako romantic ,ila wapo smart kifamilia hahaaaa
Zero relationshipSasa Ndoa na kusoma PCM vina uhusiano gani?.
Tuliza mshonoZero relationship
Mind your business......Tuliza mshono
PCM mavMind your business......
Kama ya Sa100 tuMboe alisoma combination gan A-level?