Mliotaka kufahamu sura yangu Paulina

yaani wewe joseverest una sifa hizi
.una jishauwa
una sumbua waadada wengi pm
.unajidai mkamilifu
.una neng'eneka weeeee hata kwenye thread zisizo kuhusu.
SKUPENDI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti nasumbua wadada wengi PM, unaongea bila 'data' nakuhurumia aisee

Pole kwa kuwa hunijui vizuri tu

Usiponipenda wewe haidhuru kitu kwa kuwa hauwezi kupendwa na wote dunia hii

Mimi kutokuwa mkamilifu haikufanyi wewe uwe mtakatifu

Accept challenges usijione kila kitu upo sawa
yaani wewe joseverest una sifa hizi
.una jishauwa
una sumbua qadada wengi pm
.unajidai mkamilifu
.una neng'eneka weeeee hata kwenye thread zisizo kuhusu.
SKUPENDI
 
kwendaaaaa zako JIKE unajifanya DUME
 
kwendaaaaa JIKE unajifanya DUME
 
Inaelekea unaliwa ndogo(mtandao pendwa) eeh!!!
 
nyoooo eti accept challenges
WEWE USIPENDE KUJITIA kila mada yangu lazma uiingilie kwan zako nakuingilia au ndyo UDADA wenyewe huko hahahaha
NARUDIA TENA..SKUPENDI we Dada nakuchukia.
 
Duh uzi umejaaa


Ila jaman picha iko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…