3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Ha ha ila kuna kitu nimekumbuka kuna uzi memba mmoja aliwahi kusema kitu kuhusu hii ID ndiyo maana nimepata wasiwasiEeeh. [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ila kuna kitu nimekumbuka kuna uzi memba mmoja aliwahi kusema kitu kuhusu hii ID ndiyo maana nimepata wasiwasiEeeh. [emoji23][emoji23][emoji23]
nimekuonaAmina
we bibiHa ha ha inawezekana nimezeeka maana sikumbuki kama nimewahi kuwa na uhitaji huo
hayaaanimekuona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utapata tab sanaMmh! Ukilila tutapata taab sana huku JF 🙄
basi nakuja tena pm
MTAPATA TABU SANAHa ha ila kuna kitu nimekumbuka kuna uzi memba mmoja aliwahi kusema kitu kuhusu hii ID ndiyo maana nimepata wasiwasi
ndio kapokelewaUlipokelewa huko PM?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti nasumbua wadada wengi PM, unaongea bila 'data' nakuhurumia aiseeyaani wewe joseverest una sifa hizi
.una jishauwa
una sumbua waadada wengi pm
.unajidai mkamilifu
.una neng'eneka weeeee hata kwenye thread zisizo kuhusu.
SKUPENDI
yaani wewe joseverest una sifa hizi
.una jishauwa
una sumbua qadada wengi pm
.unajidai mkamilifu
.una neng'eneka weeeee hata kwenye thread zisizo kuhusu.
SKUPENDI
kwendaaaaa zako JIKE unajifanya DUME[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti nasumbua wadada wengi PM, unaongea bila 'data' nakuhurumia aisee
Pole kwa kuwa hunijui vizuri tu
Usiponipenda wewe haidhuru kitu kwa kuwa hauwezi kupendwa na wote dunia hii
Mimi kutokuwa mkamilifu haikufanyi wewe uwe mtakatifu
Accept challenges usijione kila kitu upo sawa
kwendaaaaa JIKE unajifanya DUME[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti nasumbua wadada wengi PM, unaongea bila 'data' nakuhurumia aisee
Pole kwa kuwa hunijui vizuri tu
Usiponipenda wewe haidhuru kitu kwa kuwa hauwezi kupendwa na wote dunia hii
Mimi kutokuwa mkamilifu haikufanyi wewe uwe mtakatifu
Accept challenges usijione kila kitu upo sawa
nyoooo eti accept challenges[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti nasumbua wadada wengi PM, unaongea bila 'data' nakuhurumia aisee
Pole kwa kuwa hunijui vizuri tu
Usiponipenda wewe haidhuru kitu kwa kuwa hauwezi kupendwa na wote dunia hii
Mimi kutokuwa mkamilifu haikufanyi wewe uwe mtakatifu
Accept challenges usijione kila kitu upo sawa
ulio kuleta duniani????Inaelekea unaliwa ndogo(mtandao pendwa) eeh!!!
avatarDuh uzi umejaaa
Ila jaman picha iko wapi?
Watu washaupandisha uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ila kuna kitu nimekumbuka kuna uzi memba mmoja aliwahi kusema kitu kuhusu hii ID ndiyo maana nimepata wasiwasi
Ha Ha ha kuna watu wana ujasiri kuact jinsia ambayo siyo yako ni kazi sanaWatu washaupandisha uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wimsha mzee chokozi sana[emoji23]Ulipokelewa huko PM?