92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Vipi bado mtu hajaliwa kichwa? Msipende sana mikopo hebu pambana ndani ya bajeti yakobukiona mambo magumu bana zaidi bajeti usikimbilie option ya kukopa kisa kuna msemo hata matajiri wanakopa jiulize akikopa tajiri anafanya nini na ww ukikopa unafanya nini imagine mtu anakopa akatibu matatizo ya mwezi wa 12 lakini januari ikianza analia njaa kali.