TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,914
- 9,472
Haiwezekani mzee.Ndugu,jamaa na marafiki wangeniona mjinga sana mke wangu ni miaka 20 sasa nipo nae na ni mzuri huyu mzungu atii mguu kakamilika kila idara,after all mzungu nilidate nae tu kwa umalaya wangu wa kutaka nibadilishe ladha tumekutana huko Tunduma tukaelewana tukaishi miaka minne safari za yeye kuja Tz from Sweden zikawa haziishi na mimi kwenda Sweden zikawa haziishi(kwa gharama zake mzungu)na mke wangu muda wote huo alikuwa anajua naenda kibiashara,Uzuri zaid sikuwa na tamaa na utajiri wake that's why ikawa ni rahisi sana kumwambia ukweliNingekuwa Mimi ningemuacha mke wangu kwa muda