Mliowahi kudate na Msichana Mzungu Pitia hapa

Mliowahi kudate na Msichana Mzungu Pitia hapa

Sio wachoyo wachoyo kama haya ya kibongo eeeh?
Yaan ukimeet ni wewe kumchapa nao, hawana hiyana katika kukuachia papuchi uchakate mawese mpaka uchoke mwenyewe. Sio waomba hela, na ukitoka nao wanalipia sana huduma.
Binafsi kuna pisi moja ilikuwa inaishi kwa watasha Pritoria hiyo, aliniona na Uzi wa Yanga akahisi ni Wa Sundowns za mtaani, kuja nikamwambia hii ni Yanga na iko Tanzania, alifurahi mno, tangia siku hiyo nilimuagizia Jezi 2 za Utopolo, Njano na Kijani, hizi za Msimu huu.
 
😆😆😆😆Sisi ndio waafrica halisi Sasa!una connection Sasa ya kukapata?au ndio utaenda beach kukavizia?
nitawinda winda zenji na mbugani Mkuu.huko wapo wengi,nikikosa narudi moyoni mwako😂
 
😂😂😂mkuu nadhani unajua kwamba kutongoza hakuna Formula kivyovyote tu unaweza kumpata mzungu...Lakini kwangu mimi nimegundua ukiwa smart kwenye kuongea,pia pendelea kuvaa nguo za utamaduni wao sio hizi za kiafrica eti mara Kanzu,sijui bazee noo piga suti sometimes au vaa kama NBA star vaa Jordan sneakers n.k,pia kitu kingine kwenye story pendelea kujifanya upo attracted na vitu ambavyo pia na yeye anavipenda(hapo kabla hamjadate) kama anapenda kusoma vitabu muectie kama na ww unapenda kusoma vitabu,Halafu kuwa romantic unapoongea nae white girls wengi wanafikiri sisi black men tupo harsh sana so pretend kuwa tofaut na wengine,Kikubwa zaidi jifanye una exposure sana kuwa mtu wa kuuza chai sana hii itakusaidia mkiswitch story hapa mtapiga habari za vita ya Ukraine,kisha mnageukia masuala ya spiritual issues hapo tu unaweza kumvutia kidogo yaan mfanye ajue mambo mengi
😄😄😄 Mchawi kiingereza tu hapo kwa huyo Mjomba unaempa maujanja.
 
😄😄😄 Mchawi kiingereza tu hapo kwa huyo Mjomba unaempa maujanja.
You noo,from zat angle i see yuu,i love you more than anything everything in zis life......huwa inahitaji ujasiri kweli kutongoza kwa kiingereza na ukishaanza kudate nae shida inakuja mara mbili hicho kiingereza unatakiwa uongee nae kila siku,utajikuta unakonda bila sababu za msingi kwa kuongea broken😂😂
 
Ongeza Mkuu; hautojutia....huyo jamaa anazungumzia wazungu wa Ulaya. Wako watoto wa kizungu hapo South Africa; wengine Namibia na Mozambique, hao ndio utaenjoy zaidi. Maana wana tabia za kizungu na za ki-afrika pia. Mfano - wanajua kukata viuno vizuri - kuliko hata wa-afrika wenzetu....
Weee mkuu unasema ukweiii.?
 
Dah umenikumbusha mbali mtoto Abigail alinipenda kuliko kawaida,kwa mara ya kwanza ndio niliona mtoto wa kizungu anataka kujiua kisa kapuku mimi sitosahau....Demand yake ilikuwa ni moja tu nimuoe kisha tukaishi moja kati ya nchi ya Scandinavia tatzo ni kwamba mimi nilikuwa nishaoa na nina familia baada ya kumfichaficha ukweli ikabidi siku moja nimtobokee tu kwamba am arleady taken hapo ndipo mawazo ya kutaka kuchukua maamuzi magumu yalivyompata..She is educated woman,Beautiful,Rich na wife material kabisa,sifa ulizozitaja hapo zote wanazo,Kulia ni mimi kushoto ni yeye enzi zetu somewhere in Tz

View attachment 2198556
Mkuu majuzi nilikuwa ktk.social network.moja ivi maarufu sanaa sasa iv, basi kuna ka discussion kalikuwa kanapigwa humo juu ya issues za maisha huko scandnnavia cou.tries

Ndipo mwamba mmoja yupo Denmark akafunguka akasema huko Den, watoto wa ki Denish wana penda sana kujaribu ku sex na majitu meusi toka Africa ... Jamaa.alienda zaidi akadai wakat yy anaingia Denmark ile kutoa ushamba ya mbususu za wazungu akajua atatongoza kwa kutumia nguvu sanaa jamaa akadai yaan alikuwa ni kumsukuma mlevi tu anajipigia tu
 
Back
Top Bottom