TADPOLE JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 2,914 Reaction score 9,472 Apr 25, 2022 #161 venossah said: hongera kwa kukumbuka fadhila mkuu basi siku moja moja uwe unamwambia kuwa unaona umuhimu wake na kamwe huwez kumuacha wanawake tunapenda kuskia maneno matraaam km hayo Click to expand... Asante hayo maneno namwambia daily kila niamkapo asubuhi mwaka wa ishirini huu penzi halijawahi kuchuja even a single day!! Mpk kuna baadhi ya watu wanasema nanukia kama mke wangu wengine wanaenda mbali wanasema naanza kufanana nae😃
venossah said: hongera kwa kukumbuka fadhila mkuu basi siku moja moja uwe unamwambia kuwa unaona umuhimu wake na kamwe huwez kumuacha wanawake tunapenda kuskia maneno matraaam km hayo Click to expand... Asante hayo maneno namwambia daily kila niamkapo asubuhi mwaka wa ishirini huu penzi halijawahi kuchuja even a single day!! Mpk kuna baadhi ya watu wanasema nanukia kama mke wangu wengine wanaenda mbali wanasema naanza kufanana nae😃
TADPOLE JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 2,914 Reaction score 9,472 Apr 25, 2022 #162 davetz28 said: Hongera sana kwa kuthamini mchango wa mkeo Click to expand... Thanks mkuu!!
Morg JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 1,301 Reaction score 1,788 Apr 25, 2022 #163 Ngoja nmtag Mr hapa Cosovo aje atupe muongozo maana yeye tayari ana experience na wazungu Hadi Malta alishswahi kwenda
Ngoja nmtag Mr hapa Cosovo aje atupe muongozo maana yeye tayari ana experience na wazungu Hadi Malta alishswahi kwenda
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,704 Reaction score 47,260 Apr 25, 2022 #164 Mi na bahati mbaya na ngozi nyeupe esp. wahindi mweh[emoji848] Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mi na bahati mbaya na ngozi nyeupe esp. wahindi mweh[emoji848] Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Apr 25, 2022 #165 witnessj said: Mi na bahati mbaya na ngozi nyeupe esp. wahindi mweh[emoji848] Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app Click to expand... una maanisha nini mkuu ? emu funguka
witnessj said: Mi na bahati mbaya na ngozi nyeupe esp. wahindi mweh[emoji848] Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app Click to expand... una maanisha nini mkuu ? emu funguka