TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,914
- 9,472
Asante hayo maneno namwambia daily kila niamkapo asubuhi mwaka wa ishirini huu penzi halijawahi kuchuja even a single day!! Mpk kuna baadhi ya watu wanasema nanukia kama mke wangu wengine wanaenda mbali wanasema naanza kufanana nae😃hongera kwa kukumbuka fadhila mkuu
basi siku moja moja uwe unamwambia kuwa unaona umuhimu wake na kamwe huwez kumuacha
wanawake tunapenda kuskia maneno matraaam km hayo