Mliowahi kudate na Msichana Mzungu Pitia hapa

Mliowahi kudate na Msichana Mzungu Pitia hapa

Wadau kwema embu naomba mliwahi ku date na wadada toka nje ya bara la Africa hasa wazungu karibu ku share ni kituko gani au kadhia unayokutana nayo au ulikutana nayo kwa mara ya kwanza.

Kuna jamaa mmoja alikuwa ana date na mzungu, basi siku mmoja akatutolea siri akidai wadada wa kizungu wachafu sana na ukikwinchi kwinchi nae kulamba mbususu yake ni MUST, yaani bila kumlamba mbususu yake basi hujafanya kazi, akasema pia wao wapo makini na swala na Mimba zisizotarajiwa, japo hawatumii ndomuu

Wadau karibuni katika jukwaa ku share vimbwanga vya hawa wadada ....
Kuna mkaka humu alienda Kisiwa Cha Malta ngoja aje akupe mchapo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Dah umenikumbusha mbali mtoto Abigail alinipenda kuliko kawaida,kwa mara ya kwanza ndio niliona mtoto wa kizungu anataka kujiua kisa kapuku mimi sitosahau....Demand yake ilikuwa ni moja tu nimuoe kisha tukaishi moja kati ya nchi ya Scandinavia tatzo ni kwamba mimi nilikuwa nishaoa na nina familia baada ya kumfichaficha ukweli ikabidi siku moja nimtobokee tu kwamba am arleady taken hapo ndipo mawazo ya kutaka kuchukua maamuzi magumu yalivyompata..She is educated woman,Beautiful,Rich na wife material kabisa,sifa ulizozitaja hapo zote wanazo,Kulia ni mimi kushoto ni yeye enzi zetu somewhere in Tz

View attachment 2198556
Mzee Kuria mbona mzungu, kushoto ndio ulipo.
 
Back
Top Bottom