Mliowahi kufanya mapenzi kwenye usafiri (Safarini) njooni mtupe ushuhuda hapa

Mliowahi kufanya mapenzi kwenye usafiri (Safarini) njooni mtupe ushuhuda hapa

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Wakuu kama mjuavyo kuwa Dunia ina mambo baadhi ya mambo yenyewe ndo kama haya,.

Kuna mambo ambayo wewe unaweza kuyaona hayawezekani kumbe kwa wenzio ni kawaida kabisa.
Mfano mimi hapa huwa naona haiwezekani kufanya mapenzi wakati chombo cha usafiri chochote kikiwa kinaendelea na safari.

Haijarishi iwe ni meli ama,Ndege,gari nk hata ikitokea sidhani kama nitafurahia hilo penzi la safarini.

Kuna mwamba aliwahi kunambia yeye kafanya sana hasa kwenye meli na anasema uzuri wa meli huwezi jua hata kama inaenda yaani imetulia kabisa basi hapo full mahaba tu.

Nawauliza ninyi mlio wahi kufanya iwe kwenye tren,ndege(private jet) nk hamuogopi wala kuwaza kuwa safarini huwa kunatokea ajari mbaya?Huo ujasiri huwa mnautoa wapi?

Wengine magari yao mengi tu wameshajaribu gest yaani anapaki na kuanza yao hii imekaaje waku? Na unastarehe kabisa?
 
Back
Top Bottom