Mliowahi kufanya mapenzi kwenye usafiri (Safarini) njooni mtupe ushuhuda hapa

Mliowahi kufanya mapenzi kwenye usafiri (Safarini) njooni mtupe ushuhuda hapa

Wakuu kama mjuavyo kuwa Dunia ina mambo baadhi ya mambo yenyewe ndo kama haya,.

Kuna mambo ambayo wewe unaweza kuyaona hayawezekani kumbe kwa wenzio ni kawaida kabisa.
Mfano mimi hapa huwa naona haiwezekani kufanya mapenzi wakati chombo cha usafiri chochote kikiwa kinaendelea na safari.

Haijarishi iwe ni meli ama,Ndege,gari nk hata ikitokea sidhani kama nitafurahia hilo penzi la safarini.

Kuna mwamba aliwahi kunambia yeye kafanya sana hasa kwenye meli na anasema uzuri wa meli huwezi jua hata kama inaenda yaani imetulia kabisa basi hapo full mahaba tu.

Nawauliza ninyi mlio wahi kufanya iwe kwenye tren,ndege(private jet) nk hamuogopi wala kuwaza kuwa safarini huwa kunatokea ajari mbaya?Huo ujasiri huwa mnautoa wapi?

Wengine magari yao mengi tu wameshajaribu gest yaani anapaki na kuanza yao hii imekaaje waku? Na unastarehe kabisa?
Jamii forum muda wa kuweka bottom ya kudislike
 
Kanisani ulienda kufanya nn kama una nyege? Kanisani unazungumzia sex....akili huna
Hapo kwenye popote ndo uliharibu mwenyewe ulipaswa uitumie akili yako kwa kuandika isipokuwa kanisani.

Kwaupande wangu kanisani ndo sehemu sahihi ya kupata mchumba na mke. (nyege ni hisia za kimapenzi) hivyo bila kuwa nazo wala siwezi fikiria kuoa.
 
Kwa uvaaji wa hawa wanawake siku hizi humo kanisani...nyege unapata viziri tuu
Huo ndio ukweli mapaja njenje hadi mawazo yanatoka kanisani asee. kanisa la roma kuna kipindi walikuwa wanavalishwa kanga ukija umevaa ovyo ovyo tena pale jimboni kahama niliona kila ibada ukikaidi unarudi nyumbani na ukivalishwa ni aibu jpili ijayo hurudii
 
Hiyo ndio akili. Hawana wanawake wanakuja wamevaa body hugging clother na zile butterfly bras zao matiti yapo nusu nje
 
Back
Top Bottom